Kila mtu anajivunia kwa upande wake, asante Magufuli

Juma wa Juma

Senior Member
Jan 13, 2017
150
221
[HASHTAG]#Trump[/HASHTAG]: Nchi yetu ni mfano wa ndege bora kabisa ulimwenguni ya Air Force one. Nitahakikisha tunaendelea kuwa taifa kubwa linalokua kwa kasi kiuchumi na kijeshi kama Air Force one.

#Shinzō_Abe: Taifa letu linakua kwa kasi katika teknolojia kama treni ya umeme. Dunia sasa inajifunza teknolojia kwetu. Japan itaendelea kuwa na kasi katika teknolojia mfano wa treni ya umeme.

[HASHTAG]#JPM[/HASHTAG]: Nchi hii ni kama Lori. Na kawaida dereva wa lori hasikilizagi kelele za abiria. Mimi nakanyaga tu ili mradi lori lifike.!
 
Teh teh MaCCM bwana! Yaani hapo kuna kauli tatu tofauti

Wawili wamezungumza Maono yao kwa taifa lao na Mmoja kazungumza bora ilimradi kajaaliwa mdomo.

Hapo Pana Facts na Kande.
 
[HASHTAG]#Trump[/HASHTAG]: Nchi yetu ni mfano wa ndege bora kabisa ulimwenguni ya Air Force one. Nitahakikisha tunaendelea kuwa taifa kubwa linalokua kwa kasi kiuchumi na kijeshi kama Air Force one.

#Shinzō_Abe: Taifa letu linakua kwa kasi katika teknolojia kama treni ya umeme. Dunia sasa inajifunza teknolojia kwetu. Japan itaendelea kuwa na kasi katika teknolojia mfano wa treni ya umeme.

[HASHTAG]#JPM[/HASHTAG]: Nchi hii ni kama Lori. Na kawaida dereva wa lori hasikilizagi kelele za abiria. Mimi nakanyaga tu ili mradi lori lifike.!
 
1df42c1086028a21aae3041ffc5d0a45.jpg
 
Ha ha ha haaaaaaa

Nimechekana sana hiyo paragraph ya mwisho, tz ni km Lori

Mweeeee
 
Umechemka, dereva akishakaa macho yote mbele gari haiwezi kuacha njia hata sekunde. Iweje uconcentrate na usukani halafu gari liingie korngoni? Nyie mnaotaka ageuke ndo mnataka gari liingie korongoni
 
Kwa habari nilizopata leo kama ni kweli basi magufuli sitamlaumu tena wala makonda wanastahili pongezi ,,,ngoja niifanyie uchunguzi ntaanzisha thread , hakika leo nimeshangaa sana
 
Back
Top Bottom