Kila mtu ana starehe yake

hii ni hatari aisee
Kuna jamaa alilikoka kisawasawa, alipofika kwao akamkuta baba na mama yake.
Akamwambia baba yake "oya kichaa wangu, huyo kicheche umemuibua wapi tumpige fyucharingi fasta"
Fyucharingi ni mtungo.
 
Nimewahi kutumia bangi na bado navuta siku za weekend au nikichoka ku relax lakini hawa vijana wa sasa wanaharibu maana ya bange...tunaonekana kama wote tunaotumia jani takatifu ni punguani....

ngoja nisikilize wenye akili wenzzngu
 
Last edited by a moderator:
Labda kaburi la marehemu demu wake.
 
Kuna jamaa alilikoka kisawasawa, alipofika kwao akamkuta baba na mama yake.
Akamwambia baba yake "oya kichaa wangu, huyo kicheche umemuibua wapi tumpige fyucharingi fasta"
Fyucharingi ni mtungo.

hahahaaa.buji hivi unafanya kazi gani?
 
Kapumzika kwa amani wakati bado ana pumua.:A S 103:
 
wanasubiria kukaba watembea kwa miguu tu, hawana lolote hao
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…