rwanda ni nchi ndogo kulinganisha na tanzania,One laptop per child inawezekana tz,ila itbidi tuuze maVX na mashangingi ya wabunge,tuondoe Siting Allowance,tuondoe PaDiem,tuondoe posho za kuhudhuria mafunzo elekezi,semina,Je mishahara itatosha ,ukweli haitoshi,so the sad answer is one laptop per child can only work in RWANDA ,kwani wao wamefanya vyote nilivyosema hapo juu,wamebana matumizi yasioyo lazima ili watoto wao wapate elimu then watatutawala na kutuongoza watz,wakenya ktk East Africa Federation