Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,714
- 49,743
Eboo!!Huu ndio ukweli.
Uzae mtoto wa kiume au wa kike lazima atafanana na wewe baba yake.
Baba yetu ana watoto karibu 20, na wote kafanana nao kwa sehemu fulani bila kujali jinsia zao.
Mungu ameamua kufanya hivi ili kumpa baba imani zaidi au uhakika na uhalali wa mtoto wake.
Huwezi kuwa na daught juu ya mtoto ni wako au umepigwa chenga .
Mungu alijua wanaume sisi ni watata hatuuvumilii usaliti that's why anaamua hivyo.
Mtoto wa mke wako asipofanana na wewe huyo mtoto si wako bali wa mke wako. Mlee tu ili upate thawabu.
Aysee mbona umeandika kwa uchungu hivo??Ushapigwa nini na single mother,unaleta makasiriko🤣🤣.Huu ndio ukweli.
Uzae mtoto wa kiume au wa kike lazima atafanana na wewe baba yake.
Baba yetu ana watoto karibu 20, na wote kafanana nao kwa sehemu fulani bila kujali jinsia zao.
Mungu ameamua kufanya hivi ili kumpa baba imani zaidi au uhakika na uhalali wa mtoto wake.
Huwezi kuwa na daught juu ya mtoto ni wako au umepigwa chenga .
Mungu alijua wanaume sisi ni watata hatuuvumilii usaliti that's why anaamua hivyo.
Mtoto wa mke wako asipofanana na wewe huyo mtoto si wako bali wa mke wako. Mlee tu ili upate thawabu.
Eboo!!
SijajuaMKUU KWANI WAKUNGA WANASEMAJE?
“Lazima afanane”
Umeambiwa mtoto ni pea plant za monk
Sasa unajua DNA kisheria hapa bongo huwezi ipata bila kufungua shitaka?Hiyo ilikuwa zamani. DNA imekuja kumaliza utata.
Poa. Takuja kuvipakiaMkuu Sandali Ali ungeweka vigezo au viashiria vinavyobainisha uhalali wa mtoto kwa baba
Nimefanana copyright na Bibi mzaa mamaHuu ndio ukweli.
Uzae mtoto wa kiume au wa kike lazima atafanana na wewe baba yake.
Baba yetu ana watoto karibu 20, na wote kafanana nao kwa sehemu fulani bila kujali jinsia zao.
Mungu ameamua kufanya hivi ili kumpa baba imani zaidi au uhakika na uhalali wa mtoto wake.
Huwezi kuwa na daught juu ya mtoto ni wako au umepigwa chenga .
Mungu alijua wanaume sisi ni watata hatuuvumilii usaliti that's why anaamua hivyo.
Mtoto wa mke wako asipofanana na wewe huyo mtoto si wako bali wa mke wako. Mlee tu ili upate thawabu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣unamiliki sura ya bibiNimefanana copyright na Bibi mzaa mama
Hapo lazima kuibuke Mfekane warMtoto wako akifanana sana na jirani yako ambaye mkeo alikwambia mara kwa mara wakati wa ujauzito wake kuwa anamchukia mno, basi ujue hiyo ni habari nyingine [emoji41][emoji1787]
Ndio, sura chachu ka ya bi kidude🤣🤣🤣🤣🤣🤣unamiliki sura ya bibi
Yes. Good.kwakweli katika hili swala tukiacha unafiki kuna ufahari fulani si kwa mwanaune tu hata kwa mwanamke aliyewazaa,watoto kufanana na baba yao.
mimi nimekua katika familia iliyonilea,walipata mapacha.
wakike alienda kwa baba mpaka rangi,wa kiume akaenda kwa mama mpaka rangi.pale ndipo nilijifunza haya mambo.
mtu akija ghafla akakutana na wa kiume na baba yake atasema wanafanana.ila akija kumwona mama yake anatengua kauli tena,vivyo hivyo na kwa wa kike.nilikuja kugundua baadae wa kiume amefanana na baba yake paji la uso na macho.
mimi binafsi nimekuja kugundua nafanana sana na baba yangu baada ya kupata watoto,wamefanana na babu yao sio kidogo,maana ni vigumu wewe mwenyewe kujifananisha.