Kila msichana ninae mchunguza naona hafai kuolewa na mimi, mwaka wa 7 sasa sijapata mtu sahihi wa kuoa

Daaaah....
Ndugu yangu hakuna papuchi ya peke yako....kwani kitu kizuri ni sharti ule na wenzako....hata siku moja huwezi kuwaelewa wanawake wanataka nini........ukiwa masikini ni tabu atagongwa na wauza genge,wenye hela,bodboda, bosi kazini etc...

Ukiwa na hela nayo ni tabu manake kuna uwezekano ukawa bize na usimtosheleze haja zake hivyo atatafuta mtu wa pembeni awe house boy , dereva wa nyumbani, washkaji nk ili agongwe kisawasawa tena kwa kutumia hizohizo hela zako ....

Sisi wengine tumeamua kulea tu watoto wetu vizuuri na kurushia kwa mbali...kwa mfano hapa nilipo kuna mke wa mtu kwao wanakila kitu lyaani wanajiweza sana tu lakini jamaa yake yupo bize na masafari ya kibiashara hivyo kaniomba sana sana kesho niwe naye kama Valentine wake( kaweka booking nisimuangushe) ameniambia ana surprise yangu...hao ndiyo wanawake halisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa shida uliyonayo ni unatafuta mtu unayempenda wewe na sio anayekupenda ebu jaribu kubalance hyo kali kaka
 
Mkuu acha kupoteza mda bure hapo ,fanya hivi sikuhizi hatuoi tunazalisha tu na uhakikisha unalea mtoto au watoto wako over..
Then ,unakuwa na demu tu wa kuzugia kiaina hawaaminiki hao ohooo!!! ,ila tafuta pesa Sana utakuwa unajipimia tu kuja kushangaa umeshafikisha umri wa kuzeeka watoto unao na umewapatia elimu ,then what next ni kufa tu sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nawewe ndio ulilelewa hivyo na baba yako??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chunguza mkuu wanawake wengi siku hizi hawafai kwa kuoa...

Aheri uchelewe kuoa kuliko kuchukua mzigo. Wanawake wenyewe kwa upande wetu wanaohitaji kuolewa hawaolewi olewi na kila mwanaume.

Chunguza...huwezi ukaoa malaya, mwizi, mwongo, mfitini, n.k
 
Unaweza kupewa tena miaka 20 na bado usimpate huyo mke mkamilifu

Kuna wengine kabla ya ndoa wakamilifu kwa kiasi fulani na wakishaingia tu,mambo yanabadilika and vice versa is true
Hakuna wa kutafuta mwanamke mkamilifu ila unatafuta walau mwanamke utakayemwamini.

Huwezi kuishi na mtu usiye mwamini.

Swali dogo....

Una mwanamke mweye mtoto asiye wako. Siku akakuambia mwanae anaumwa yupo kwenye hali mbaya anahitaji pesa ya matibabu. Ukajitolea kumfuata alipo umsaidie.

Ulipofika anakuambia mtoto nimemwacha kwa mama ananisubiria pale mbele wewe nipe pesa hakuna haja ya kunipeleka hospitali. Unampa....

Unajaribu kumfuatilia haendi mlipokubaliana anampeleka mtoto...na mama yake hayupo hata mjini.

Huyu unaoa?...acha kuoa hata kuwa naye rafiki mimi siwezi.
 
Sio bure una matatizo wewe, na si kwamba hawapo ila inaelekea wewe hujatulia unapenda zinaa, una gubu lisilovumilika kabisa, una amri unataka umtawale mtu kwa kila kitu, anavyokula, anavyoishi, yni umtawale hadi akose amani, ndo ww una masharti km mganga wa kienyeji, kwa namna hiyo unafkr nani atakubali kuolewa na wewe?, ata mimi nisingekubali. Waswahili wanasema " ukimchunguza bata sana hautamla, na mchagua Nazi upata koroma, kuchamba kwng kuondoka na mavi. Usipobdilika utazeeka ukiwa single. Wewe ndiyo mwny tatizo na si hao wanawake. Kama unachagua nyanya.
 
Ndugu yangu hakuna papuchi ya peke yako....kwani kitu kizuri ni sharti ule na wenzako....hata siku moja huwezi kuwaelewa wanawake wanataka nini........ukiwa masikini ni tabu atagongwa na wauza genge,wenye hela,bodboda, bosi kazini etc...

Ukiwa na hela nayo ni tabu manake kuna uwezekano ukawa bize na usimtosheleze haja zake hivyo atatafuta mtu wa pembeni awe house boy , dereva wa nyumbani, washkaji nk ili agongwe kisawasawa tena kwa kutumia hizohizo hela zako ....

Sisi wengine tumeamua kulea tu watoto wetu vizuuri na kurushia kwa mbali...kwa mfano hapa nilipo kuna mke wa mtu kwao wanakila kitu lyaani wanajiweza sana tu lakini jamaa yake yupo bize na masafari ya kibiashara hivyo kaniomba sana sana kesho niwe naye kama Valentine wake( kaweka booking nisimuangushe) ameniambia ana surprise yangu...hao ndiyo wanawake halisi
Mtoa mada ana pointi kubwa saana.

Ubinadamu wa mtu ndiyo jambo kubwa saana katika maisha. Achana na uzuri na ubaya na mengineo.

Ubinaadamu...unajumuisha mambo mengi saana. Ila kubwa ni [integrity]. Kwa kiswahili nakosa msamiati uliosahihi.

Sio mke au hata rafiki wa kiume kama hana integrity...huyu hafai. Binafsi siwezi mwamini mtu wa hivyo katika jambo lolote.

Kwanini niishi na mtu nisiye mwamini!....
 
Sio bure una matatizo wewe, na si kwamba hawapo ila inaelekea wewe hujatulia unapenda zinaa, una gubu lisilovumilika kabisa, una amri unataka umtawale mtu kwa kila kitu, anavyokula, anavyoishi, yni umtawale hadi akose amani, ndo ww una masharti km mganga wa kienyeji, kwa namna hiyo unafkr nani atakubali kuolewa na wewe?, ata mimi nisingekubali. Waswahili wanasema " ukimchunguza bata sana hautamla, na mchagua Nazi upata koroma, kuchamba kwng kuondoka na mavi. Usipobdilika utazeeka ukiwa single. Wewe ndiyo mwny tatizo na si hao wanawake. Kama unachagua nyanya.
Taratibu...

Wewe utakubali kuolewa na mwanaume usiyemwamini?
 
Ukimchunguza sana bata hutakula nyama yake . Wengine wakiolewa wanatulia , kuna bar maid "bonge la gunia " alipoolewa alitulia na maisha yanaendelea . (unajua gunia linabeba kila aina ya takataka ) Oa ila usichunguze kupïtilïza ,umri unazidï kwenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kwanini uone mwingine kuoa au kuolewa na asiyewaamini ni nongwa?
sio kwamba ni nongwa, asa yeye anachagua sana. wkt anapaswa kujua kwamba hakuna binadamu mkamilifu. huwez kumpata mtu mkamilifu ktk sehemu zote. km mtu kasoro yake ni moja na inavumilika bs avumilie tu na ikiwzkn ambadilishe. ina mana ata ww untk kuniambia mpk unafika 37 to 40 bd hujaona mtu, kweli ?
 
Kwanza usituite sisi mabwege! Wewe unakula makombo tunakuachie wewe bwege..
Kutokana na sifa zako za kuwachunguza wanawake huku ukiwala, a nakuambia hutopata mwanamke sahihi hadi unakufa.
Hiyo ni karma
Habari ndugu zanguni?
Mimi ni mwanaume wa miaka 37 sasa, Ni mwaka wa saba sasa tangia nianze kutafuta mwanamke wa kuoa sijampata, wanawake wazuri wenye tabia njema kwa macho wapo wengi sana ila nikisema sasa nianze kumchunguza tu nagundua mauzauza mengi na kuhailisha kwa kila nimpatae,
Nikimpata msichana ambae anaonekana kuwa na sifa njema za kuwa mke naanza kuchunguza kwa kina mwenendo wake, marafiki zake, simu yake naidukua...nasoma sms zake zote zinazoingia katika simu yake, nasikiliza simu zake zote, nasoma location kwenye ramani anakoenda kila siku kwa kupitia application yangu moja ya ujanja ujanja, hapo sasa ndo naanza kukutana na vitu vinavyoniua nguvu na kuhailisha kuoa.
Sasa mpaka nimechoka, kuoa ni jambo la lazima siwezi kuhailisha, je kosa langu ni kuchunguza au ? Je ni sahihi kumuoa mtu bila kumchunguza ?
Nakumbuka maneno ya babu aliniambia kosea vitu vyote usikosee kuoa " mke ndiye rafiki yako wa maisha, mlezi na mwalimu wa watoto wako, mtu wa kukuliwaza kila siku, ukikosea ukampata mtu ambae sio sahihi utakuwa umeharibu maisha yako na ya watoto wako kutokana na yeye, kuwa makini katika kufanya chaguo" . Hayo ndio maneno ya babu yangu, je niyapuuze ? Au nizingatie ?
Rafiki yangu Rama aliniambia chunguza juu juu tu usichunguze sana, mwanamke yoyote ukimchunguza sana hauwezi kumuoa, leo nimeamini maneno ya Rama, wingi wa wanawake wote hawa mimi nakosa mke wa kuoa mwaka wa saba sasa? Eti tatizo ni kuchunguza
Binafsi najua kuwa hamna binaadam anaekosa kasoro, nipo tayari kupokea kasoro za kibinaadam lakini sio usaliti, sio kushea, Nataka nioe mwanamke wa pekeyangu, niwe nakula mimi tu bila kushea na bwege yoyote.
Naombeni ushauri ndugu zangu, nitumie njia ipi iwe sahihi kumpata mtu sahihi aliye mwaminifu katika ndoa ? Maana naamini waaminifu wapo, tatizo ni kumpata tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom