Bwana Mapesa JF-Expert Member Apr 28, 2011 2,551 1,777 Dec 11, 2012 #4 bazazi said: kunguru hafugiki! Bazazi! Click to expand... kunguru ni mnyama?
Bazazi JF-Expert Member Aug 18, 2008 2,806 3,476 Dec 12, 2012 #5 Bwana Mapesa said: kunguru ni mnyama? Click to expand... Inategemea unatumia nini kuamua?Ikiwa u mtu wa baiologia, Kunguru ni mnyama (Animalia) Ila daraja (Class) yake ni AVES huku unaotaka waitwe wanyama ni Mamalia. Bazazi!
Bwana Mapesa said: kunguru ni mnyama? Click to expand... Inategemea unatumia nini kuamua?Ikiwa u mtu wa baiologia, Kunguru ni mnyama (Animalia) Ila daraja (Class) yake ni AVES huku unaotaka waitwe wanyama ni Mamalia. Bazazi!
kashesho JF-Expert Member Oct 19, 2012 4,976 2,465 Dec 12, 2012 #6 kweli kabisa ila akikasirika patakuwa hapatoshi
TheChoji JF-Expert Member Apr 14, 2009 4,975 15,315 Dec 12, 2012 #8 Bado sijajua kwanini watu huwa wanapenda kutafuta matatizo?
kyanaKyoMuhaya JF-Expert Member Jul 8, 2012 1,952 937 Dec 12, 2012 #9 Joseph said: Inapendeza sana. Click to expand... ETI EHHHHHHHHH, kama huyu: View attachment 74790
Joseph JF-Expert Member Aug 3, 2007 3,518 1,086 Dec 13, 2012 #10 kyanaKyoMuhaya said: ETI EHHHHHHHHH, kama huyu: View attachment 74790 Click to expand... Hakika inapendeza ila huyu hatabiriki
kyanaKyoMuhaya said: ETI EHHHHHHHHH, kama huyu: View attachment 74790 Click to expand... Hakika inapendeza ila huyu hatabiriki
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Sep 3, 2010 7,637 4,521 Dec 13, 2012 #11 Sijawahi kuona binadamu akifuga Ndezi...