Kila mmoja anawaza lwake

mie kununa siwezi sanasana nikisaririka naimbaaaa badae ukiniongelesha najibu
 
Uzuri wa watoto hata wagombane vipi huwa hawawekeani mashonde.

Ugomvi wao ni wa muda tu kisha maisha yanaendelea
 
Baada ya mda mfupi tu watakuwa na furaha tena. ndio faida ya malaika wa Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…