Kila mmoja anawaza lake

Hawawezi kukana mshana jr maana hapo kila mmoja anawaza namna ya kupiga hela ndefu ya maisha na hapo kama miss chagga kama alivyosema Khantwe anawaza namna ya kumalizia ghorofa lake

Hahaahaaaa nawasubiri kwa hamu kubwa ila lazima mmoja atajitoa ufahamu aseme ni fotoshopu
 
Last edited by a moderator:
Ntuzu ameuza dhahabu yake hebu mtafute aise
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…