Kila mdada ana weakness ya kitu chake

wanaume wa dar
chips mayai
biscuit
ice cream
kashata
mambo yakiwa magumu wanaamia
pweza
karanga mbichi
Nazi
mihogo mibichi
mbegu za maboga
vumbi la wakongo
ivi mmelaaniwa auuuu
 
 
Unataka kusema thamani ya uyo mrembo ni biscuits za elf3??!
Kwann hamuaminigi love is priceless rather doesn't cost a thing


That was not love..huko kulikuwa kugegedana!

tusiharibu maana nzuri ya neno 'mapenzi'

Na ni kweli kugegedana hakuna gharama ila mapenzi yana gharama..na sio pesa!
 
mleta mada atakuwa form six leaver...kamaliza shule juz juz..na sasa ana illusion nyingi kichwan kuhusu chuo..
 
Mwanaume mweusi shabibu na rijali wa kiafrica hawezi kukiri kula biskuti hadharani labda uniambie ni mzungu au weye bado mvulana?
 
Kazi kweli, mwanaume mzima unajisifia kula biskuti, sasa ulikua unamlaje huyo dada, sion nguvu ulikua unatoa wapi!! Du!
 
mkuu,majina ya JKT yameshatoka

umepangiwa wapi mzalendo?
 
Kala box ngap?!...kila kitu kina price mambo ya kusema love ni priceless tunadanganya
Bila shaka ujajua maana ya neno priceless

Wengi wanadhani priceless ni kutokuwa na thamani yoyote.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…