YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,995
Kuna mbunge unakuta katoka mikoani au Zanzibar anachangia kuhusu msongamano wa magari Dar es salaam na anaomba mwongozo wa spika au naibu spika na majibu ya waziri kuhusu hilo.Huo ni umbeya.Kila Mbunge aongelee ya kwenye jimbo lake.Watu wa Dar es salaam wana wabunge wao waachiwe watayaongelea.
Halafu unakuta huyo anayefoka na kuongelea msongamano wa magari Jimboni kwake barabara mahandaki matupu.
Kenya mbunge wa jimbo lingine ukiingilia na kujifanya unaongelea jimbo la mtu mwingine mbunge mwenye jimbo anakufuata na kuanza kukuvurumishia mangumi kuwa unamwingilia kwenye jimbo lake.