Kila la kheli Abely Mwinuka

Kila la kheli Abely Mwinuka

Pole binti...mpaka soma la 'mapenzi' lieleweke server ya JF itakuwa imejaa na kumwagika..
ila huyo Abely Mwinuka?...
 
dah!!

kuna watu wanabahati duniani yaani from no where tuu unaibuka ku-make headline kwenye media kama jf??

haya Abely mwinuka hongera
 
Tehe tehee. Hii mambo bhana! Huwa nawaona watoto dizaini hii wanatembea barabani wameshikana mikono au wanalishana chips kuku huku wakiitana Baby baby baada ya muda huanza kuitana majina yao kama huyu from Baby to Abely.
 
Umekumbuka kumtangaza na kule fesibuku kwenye wolipeji yake?
 
hahahahaaaa kwaio umeona umtangazee????
 
she has to,paroko
halafu mambo ya kugombana kule mtaani na kuja kuleta simulizi na majina halisi kwenye media sio kabisa
Good good mwallu i like this perspective
 
Last edited by a moderator:
she has to,paroko
halafu mambo ya kugombana kule mtaani na kuja kuleta simulizi na majina halisi kwenye media sio kabisa

Najua usingependa sana nipite hapa....
 
We lazima utakuwa siyo chaguo lake so usilalamike,. Mfano mimi kuna binti wa kichaga ananipenda sana, lkn mimi simpendi kweli, yani nampenda nikitaka mgegedo tu,. Nikimwangalia namuonea huruma natamani kulia, najuta kumtongoza, lkn ndio hivyo halmashauri ya Moyo!
 
We lazima utakuwa siyo chaguo lake so usilalamike,. Mfano mimi kuna binti wa kichaga ananipenda sana, lkn mimi simpendi kweli, yani nampenda nikitaka mgegedo tu,. Nikimwangalia namuonea huruma natamani kulia, najuta kumtongoza, lkn ndio hivyo halmashauri ya Moyo!

subiri yakugeukie
 
Ni wiki moja sasa tangia nipost mada yangu ilikuwa na kichwa kisemacho,Abby nashukuru kwa yote. Baada ya dharau nyingi na kejeri nimeamua kuukubali ukweli wa mambo kuwa nilichelewa kujua dhamira yako ya kuniahidi ahadi hewa. Wana MMU kumbe yote hayo alikuwa akinitendea alikuwa anashindwa animwagaje maana sikuwahi kumkosea hata siku moja.

Vituko vyake vya kutokupokea simu wala kujibu meseji ilikuwa ni njia ya kunimwaga na sababu kubwa kumbe kapata mwanamke mwingine. Hayo nimejulishwa na kaka yake baada ya mimi kumjulisha kuwa naona nipumnzishe akili sababu mdogo mwenyewe haelewiki mpaka sasa. Ndo akaniambia ana mshangaa sana mdogo wake kwani alimopita kunitambulisha mimi ndo anapita na mwanamke huyo kuwatambulisha na akiulizwa na vipi kuhusu mimi anajibu mimi ni bahili. Kitu ambacho sina kabisa hiyo tabia, kwakweli viumbe wazito wema wangu wote kasahau ananitafutia tabia ambayo sina. Bado nakushuru lakini mema hukumbukwa mabaya hupita, sikujua kumbe ulikuwa na mapenzi ya pesa na si ya dhati.

Kila la kheli

Naomba kukuuliza?

"kheli" kama ulivyoandika kwenye kichwa cha habari yako, na "kejeri" kama nilivyoiwekea nyekundu hapo juu, ndio vyakula vipi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom