Kila la kheli Abely Mwinuka

Kila la kheli Abely Mwinuka

Let the the truth be said

angeanza na jina lake halisi pia kabla hajamtaja jna mtu. haya mambo ya mahusiano mara zote story zake zina pande mbili, kamtaja mwenzie majina alhali lake kaliweka kapuni, utoto!
 
Maaajabu haya kutaja jina inatuhusu hapa bi dada???????????
Jifunze kuheshimu privacy ya mtu wether kakubwaga or not,,,,,,,,,,,,, kuachwa/ kuachika ni part ya maisha hukumtengeneza ww huyu angalia ni wapi umejikwaa inuka futa vumbi endelea na safari.
 
pole sana, kwa kutuliza machungu nenda kajiunge na UKAWA, kuwaeleza wananchi dhamira chafu ya mchakato wa katiba, ukifika mtaje huyo mtu wako kuwa amepata serikali nyingne, wakati we upo tayari kuwa wa3. usiumie sana hayo ndio mahaba niumize kama maumivu ya jana kwa chelsea.
 
kila mtu na kilio chake ..pole hao ndo vimeo vilivyojaa
 
Mapenzi ya kitoto haya. Kama kakuacha ndio umtangaze na jina lake? Kwa nini uendelee kusikitika wakati ulisema umeamua kukaa pembeni? Inaonekana jamaa alikuwa madini sana, unasikitika kumpoteza mtoto wa kikinga!

Kwani kuna ubaya gani kumtaja mtu jina?

Nasikitika sn mitanzania sisi kila kitu kuficha tu.
 
hayo maneno tu...kuna magarasa mengine yanamsubiri mpk ampate huyo wa dhati

Huna huruma best,bidada anahitaji faraja hata ya uongo maana inaelekea kavurugwa Hasa!!!
Ila ulichomwambia ni kweli tupu,ndio kwanzaaa safari imeanza.
 
Duh, Mtu amekutenda mpaka ukaamua kumuweka humu Jf.....?

Imbombo jilipo..
 
Huna huruma best,bidada anahitaji faraja hata ya uongo maana inaelekea kavurugwa Hasa!!!
Ila ulichomwambia ni kweli tupu,ndio kwanzaaa safari imeanza.
Twin yani bora tuambiane ukweli tu hapo badooo yani huyo hajamtenda kabisa asubiri matukio makubwa zaid...
 
Kwani kuna ubaya gani kumtaja mtu jina?

Nasikitika sn mitanzania sisi kila kitu kuficha tu.

ulisoma sheria za humu,?????,mitanzania ndo ipi hiyo??? kwa kuwa mimi ni mtanganyika sitaki kuweko neno ila chunga ndimi hiyoo mkuuu,yaani kitu kidogo ndo unapaniki hivyo
 
Hii ni movie inaendelea, ndio kwanza tupo part two. Itakuja ajibu hapa huyo kidume, bibie naye arudishe mapigo mbona patanoga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom