BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,334
- 8,813
.
Tumekusikia, hatutokuangushaWaarabu leo kazi kwenu, pigeni hao waafrika weusi warudi kwao kwa makaburu, tena huyo Mamelodi nipigieni 3 zinatosha, kwanza alichotufanyia wananchi ile Penati hapana aise
Al ahly💪🏽
Pyramids 💪🏽
Kila la heri kwenu wenye makombe yenu
Al ahly 1, na badoMamelod anashinda game mapema!
Pyramid anatolewa kwa tuta. Tutegemee fainal ya wasouth.🤳
Mechi imeisha? Hizo ni ndoto mkuu. Mechi inaisha 1-1 muarabu out!!.Al ahly 1, na bado
Al ahly & Pyramids final
Timu zenu mbovu mbovu ndio hua zinahitaji hamasa za mashabikiMamelodi timu ya kipuuzi sana. Uwanjani kuna watazamaji wawili tu wana jezi zao, weusi wengine kama machinga tu wamewaokota barabarani. Yaani hawa ndiyo waifunge Al Ahly uwanja ukiwa umejaa hivi?
Basi sawa, tunachoangalia ni uzoefu na ushindi, al ahly ni mzoefu, hatua kama hizi humtoi. Labda wafanye kama walivyofanya kwa yanga.Mamelod hanaga tofauti ya ugenini wala nyumbani kote anaubonda na muona Al Ahly still bado anaweka basi.
Una elements za ubaguzi flani hivi kulikua na haja gani ya kutaja races?Waarabu leo kazi kwenu, pigeni hao waafrika weusi warudi kwao kwa makaburu, tena huyo Mamelodi nipigieni 3 zinatosha, kwanza alichotufanyia wananchi ile Penati hapana aise
Al ahly💪🏽
Pyramids 💪🏽
Kila la heri kwenu wenye makombe yenu
Mechi imeisha? Hizo ni ndoto mkuu. Mechi inaisha 1-1 muarabu out!!.
Walipofungwa na pirate uwanja ulikuwa haujaja? PoorMamelodi timu ya kipuuzi sana. Uwanjani kuna watazamaji wawili tu wana jezi zao, weusi wengine kama machinga tu wamewaokota barabarani. Yaani hawa ndiyo waifunge Al Ahly uwanja ukiwa umejaa hivi?
Ubaguzi labda uanzishe wewe, mimi sinaga huo ujingaUna elements za ubaguzi flani hivi kulikua na haja gani ya kutaja races?
Mwisho wa siku nani bingwa?Timu zenu mbovu mbovu ndio hua zinahitaji hamasa za mashabiki
😃😃Opinion hizi... Kwamba madridi ilikuwa si timu ya makombe? Mimi na wewe nani amekariri?. Gori la ndondokera? Angalia takwimu za mechi afu tulia second half.Muarabu IN, mweusi out
Usikariri, al ahly ni timu ya makombe, hivyo ni mzoefu. Huyo mamelodi ana makombe mangapi mpaka sasa?
Unao sana tena tukienda deep una udini! kulikua na umuhimu gani wa kutaja rangi za ngozi kama sio ubaguziUbaguzi labda uanzishe wewe, mimi sinaga huo ujinga