Lupamba's grandson
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,232
- 1,192
Habarini wana Jei Efu ,naamini ni wazima.
Salam za kwanza zimfikie @Faizafox akiwa ughaibuni .
Niende kwa mada Moja kwa moja, kjna ili swala la mahusiano mnakaa labda let say miaka 3 kwenye mahusiano au mpka 6 ,mwanaume akimuacha mwanamke ,watu watakulalamikia sana
" ooohh Wewe umempotezea muda dada wawatu ,bora ungemwambia mapema kuwa hutamuoa angeshaolewaga ona ulivyomuumiza karibu miaka 6 yote umempotezea dada wawatu hakika karma haitakuacha salama lazima ulaaniwe machozi ya mwanamke ni mabaya sana""
Sasa upande wa shilingi ,mmekaa miaka 6 au 12 sasa mwanamke aaamue kumuacha mwanaume hautasikia maneno ya kwamba
" oooh dada umempotezea kaka wawatu muda bora ungemwambia" hautasikia hayo maneno hata badala yake utasikia lawama
" we kaka mjinga umeshindwa kumtunza huyo mwanamke haya sasa kakukimbia kaenda kwa wenye kujua kutunza"
Wataenda mbali zaidi " ndugu unabahati mbaya wewe mwanmke mzuri kakupenda unaanza kuleta shobo badala ungevuta ndani harusi nini unaremba haya sasa wajanja wa mjini washakubebea"
Sasa hii kitu ni nini mbona wanaume tunanyanyasika ?? Kwani sisi ndio hamtupotezei muda????