Kila kitu tusichokijua

wazee wa nyuzi za kula tunda kimasihara naomba msithubutu hata kuunusa huu uzi, mtatuharibia mada
 
Kwanini sizikumbuki ndoto zangu?

Samahani kwa kuwa nje ya mada.
Tunaota wakat wa around saa 8 had 12 na mida hiyo tunakuwa kwenye aina ya usingiz inaitwa Rapid Eye Movement,REM(aina nyingne ni non REM)
Wakati wa rem, cell znazokuwa kazini huzuia storage ya content zako kweny ubongo kwa muda mrefu.
Ndoto zako sio huzikumbuk bali huwa unazisahau haraka.
 
Bado nashindwa kuona ni vip hapo nitamtoa nyani kwenye jamii ya watu kama hivyo ndivyo ntakavyo define human.
 
Ndio, nazikumbuka kidogo alfu zinapotea kabisa
 
Bado nashindwa kuona ni vip hapo nitamtoa nyani kwenye jamii ya watu kama hivyo ndivyo ntakavyo define human.
Nyani vitu anavytambua hekima alonayo inaishia kitu kinachoonekana mojakwamoja kwake mfano kijiti cha kuchokoa kichuguu mojakwamoja. Anatumia mikono na meno mojakwamoja.

Lakini kuwaza kuunda kisu cha kuchongea kijiti kwake ni kazi, hawezi kwa maana hana imagination power ya kutosha

Tofauti na mwanadamu yeye anaweza unda mashine ya kutengenezea visu vya kuchokonolea vichuguu. Level nyingi tu za abstract reasoning ametumia.

Nyani ana uwezo labda wa kuogopa wingu linaloleta mvua kubwa- Vyote anaviona na anavihusianisha.

Lakini mwanadamu anaenda mbele zaidi na kuundaunda vifact, kuwa mvua kubwa imetokana na wingu zito lililotokana na nguvu kubwa inayoongozwa na roho kuu ndiyo mungu. Halafu anaanza kuiabudu hiyo roho. Au akiwa mwanasayansi ataunganisha kani atakaziona kuwa zinaongoza mawingu

Sapiens is some kind of transcedental knowledge. Ambayo binadamu anayo tofauti na nyani
 
Ninaposema primates namaanisha hadi binadamu. Tupo wenye kuabudu vinavyoonekana na visivyoonekana na wasio abudu chochote pia wapo i.e hata chimpanzee ataingia kwenye sifa ya wanadamu kama utaangilia kigezo cha kuabudu.
Kama ambavyo hakuna mtu asiye amini pia hakuna asiye abudu.

Labda kama hatufahama ya maneno hayo.
 
Kitu kinachokutofautisha na wao ww unaweza kuandika apa kuwachambua na wao hawawezi kukundika apa kuwachambua
 
Hakuna asiye abudu. Labda swali ni kwamba wana abudu nini.
Utakaposoma kila mtu anaabudu kwa huo msingi unaenda nao jua kabsa ni sifa ambayo wanyama wengine wanayo. So that again wont define human uniquely.
 
Lakini ungetusaidia kuwa ni mnyama yupi anaabudu.

Mnyama yupi ana lugha tata kama mwanadamu.

Kumbuka kuna hadi wanadamu wengine waliokuwapo enzi hizo, wasiokuwa na lugha walishaisha maana uwezo wao kuyakabili mazingira haukufikia uwezo waliokuwa nao kina sisi. Homo sapiens. Mbinadamu mwenye hekima - literal translation.
Utakaposoma kila mtu anaabudu kwa huo msingi unaenda nao jua kabsa ni sifa ambayo wanyama wengine wanayo. So that again wont define human uniquely.
 
Kuna mambo mengi binadamu kuyaelewa ni vigumu sana
 
Jibu hapa mleta mada
 
Naambiwa na nani?
 
Wanadamu wapi hao mkuu. Na hata sisi wenye lugha tunaondoka pia, je tumekuwa illiteral beings?
And how does that make us human? I guess we will never know.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…