Kila kitu tusichokijua

Kila kitu tusichokijua

Wanadamu wapi hao mkuu. Na hata sisi wenye lugha tunaondoka pia, je tumekuwa illiteral beings?
And how does that make us human? I guess we will never know.
Alichotaka ujibu ni ufanye utafiti uje na majibu ya 1. Mnyama gani mwingine anajulikana kuwa anaabudu.
2. Mnyama yupi mwingine anatumia lugha tata ya symbols. Kumbuka wapo wanaotumia signs na milio

Hayo mawili yanahitaji uwezo mkubwa sana wa kufikiri na kuamua na kuchagua. Ama kiujumla tu HEKIMA. Sasa hekima kwa kiyunani sijui kigiriki ndiyo neno SAPIENS.

Sapiens ni zaidi ya elimu, ni zaidi ya ujuzi ni kitu fulani tata na 'abstract' kiasi ambacho unaweza kubisha kuwa hakipo, lakini kipo!. Nahisi kwa kisukuma hii ndiyo wanaita MASALA......... Uzuri ni kuwa sio vitu vya kuzaliwa navyo kiviillle, kuna kupewa na kuna kujifunza na kufunzwa yaani MASALA-KULANGWA!
 
Kumbuka hatupimi uhalali au uhalisi wa kuabudu hapa kaka.

Tunachojaribu kuonesha ni kama tu kuleta data ya ushahidi wa uwezo mkubwa wa kufikiria na kuimagine na kusanidi kweli mbalimbali na kuziamini.

Au kufundishwa hizo kweli na kuzing'amua na kuziamini na kuzitumia pamoja na u-tata wake, complexity.

Huyo ndiyo Homo sapiens
 
Back
Top Bottom