Kila kitu tusichokijua

Kila kitu tusichokijua

wazee wa nyuzi za kula tunda kimasihara naomba msithubutu hata kuunusa huu uzi, mtatuharibia mada
 
Kwanini sizikumbuki ndoto zangu?

Samahani kwa kuwa nje ya mada.
Tunaota wakat wa around saa 8 had 12 na mida hiyo tunakuwa kwenye aina ya usingiz inaitwa Rapid Eye Movement,REM(aina nyingne ni non REM)
Wakati wa rem, cell znazokuwa kazini huzuia storage ya content zako kweny ubongo kwa muda mrefu.
Ndoto zako sio huzikumbuk bali huwa unazisahau haraka.
 
Kama mnyama ataanza kuabudu kwa kweli hamna namna huyo ataingia kundi la ma sapiens.

Kuabudu kunahitaji hekima fulani ya juu, na uwezo wa kufanya imagination ulio mkubwa. Lakini pia reasoning ya hali ya juu ya kuungaunga vi fact vilivyopo hadi kudeduce uwepo wa Mungu.

Lakini haimtoi asiyeabudu ubinadamu wake, ni vile tu naye amededuce mambo kufikia conclusion zake kwa akili yake hiyo kubwa.

Either way, inabidi mtu/mnyama adisplay sifa zilizo sawa, au zinazokaribiana na level ya kuabudu ili kuprove u sapiens wake. Some form of transcendental knowledge sir
Bado nashindwa kuona ni vip hapo nitamtoa nyani kwenye jamii ya watu kama hivyo ndivyo ntakavyo define human.
 
Tunaota wakat wa around saa 8 had 12 na mida hiyo tunakuwa kwenye aina ya usingiz inaitwa Rapid Eye Movement,REM(aina nyingne ni non REM)
Wakati wa rem, cell znazokuwa kazini huzuia storage ya content zako kweny ubongo kwa muda mrefu.
Ndoto zako sio huzikumbuk bali huwa unazisahau haraka.
Ndio, nazikumbuka kidogo alfu zinapotea kabisa
 
Bado nashindwa kuona ni vip hapo nitamtoa nyani kwenye jamii ya watu kama hivyo ndivyo ntakavyo define human.
Nyani vitu anavytambua hekima alonayo inaishia kitu kinachoonekana mojakwamoja kwake mfano kijiti cha kuchokoa kichuguu mojakwamoja. Anatumia mikono na meno mojakwamoja.

Lakini kuwaza kuunda kisu cha kuchongea kijiti kwake ni kazi, hawezi kwa maana hana imagination power ya kutosha

Tofauti na mwanadamu yeye anaweza unda mashine ya kutengenezea visu vya kuchokonolea vichuguu. Level nyingi tu za abstract reasoning ametumia.

Nyani ana uwezo labda wa kuogopa wingu linaloleta mvua kubwa- Vyote anaviona na anavihusianisha.

Lakini mwanadamu anaenda mbele zaidi na kuundaunda vifact, kuwa mvua kubwa imetokana na wingu zito lililotokana na nguvu kubwa inayoongozwa na roho kuu ndiyo mungu. Halafu anaanza kuiabudu hiyo roho. Au akiwa mwanasayansi ataunganisha kani atakaziona kuwa zinaongoza mawingu

Sapiens is some kind of transcedental knowledge. Ambayo binadamu anayo tofauti na nyani
 
Ninaposema primates namaanisha hadi binadamu. Tupo wenye kuabudu vinavyoonekana na visivyoonekana na wasio abudu chochote pia wapo i.e hata chimpanzee ataingia kwenye sifa ya wanadamu kama utaangilia kigezo cha kuabudu.
Kama ambavyo hakuna mtu asiye amini pia hakuna asiye abudu.

Labda kama hatufahama ya maneno hayo.
 
Kitu kinachokutofautisha na wao ww unaweza kuandika apa kuwachambua na wao hawawezi kukundika apa kuwachambua
 
Hakuna asiye abudu. Labda swali ni kwamba wana abudu nini.
Utakaposoma kila mtu anaabudu kwa huo msingi unaenda nao jua kabsa ni sifa ambayo wanyama wengine wanayo. So that again wont define human uniquely.
 
Lakini ungetusaidia kuwa ni mnyama yupi anaabudu.

Mnyama yupi ana lugha tata kama mwanadamu.

Kumbuka kuna hadi wanadamu wengine waliokuwapo enzi hizo, wasiokuwa na lugha walishaisha maana uwezo wao kuyakabili mazingira haukufikia uwezo waliokuwa nao kina sisi. Homo sapiens. Mbinadamu mwenye hekima - literal translation.
Utakaposoma kila mtu anaabudu kwa huo msingi unaenda nao jua kabsa ni sifa ambayo wanyama wengine wanayo. So that again wont define human uniquely.
 
Kuna mambo mengi binadamu kuyaelewa ni vigumu sana
 
Lakini ungetusaidia kuwa ni mnyama yupi anaabudu.

Mnyama yupi ana lugha tata kama mwanadamu.

Kumbuka kuna hadi wanadamu wengine waliokuwapo enzi hizo, wasiokuwa na lugha walishaisha maana uwezo wao kuyakabili mazingira haukufikia uwezo waliokuwa nao kina sisi. Homo sapiens. Mbinadamu mwenye hekima - literal translation.
Jibu hapa mleta mada
 
Mim naona kama umeleta theory nying sana. Sijajua una imani ipi. Ndio haya mambo ukisema dini unaanza kupapatuliwa oh zimeletwa na wàgeni.

Najua nikikuletea habar za islam hapa itakua kelele na zogo. Lakin islam as islam sijajua mifumo mingine
Islam kama mfumo wa maisha kwa maana ya kuji surrender kwa aliyeumba ulimwengu tiyari wameshaambiwa habar za ghaibu. (Habari ambazo kiakili ya kawaida kibinadamu huwezi kuthibitisha ima kukir au kukanusha) yapaswa uamin tu hayo mambo ya kujua elimu mfano umesema ya bahari kwa 5% mpaka 10 % tu na 90 yote iliyobak hatujui.

Kweny islam hio imeshaelezwa kwanza mungu kaumba viumbe tunavyovijua na tusivyovijua, ukubwa wa huko ulimwengu mwingine ni habari nyingine na naona inathibitishwa na hayo magalxy kwamba itachkua miaka mabilioni kuyafikia, Islam inaeleza katika wakati wa hukumu kuna mti kivuli chake kukimaliza kwa mwendo wa farasi mwenye nguvu bila kuchoka itamchkua mtu miaka 500 kukimaliza kivuli chake, ukubwa tu wa mbingu saba kwa moja ni sawa na ya kwanza chkua pete size 10 inayofata ni sawa na kudondosha kajipete yaani mbingu inayofata ni bigger than previous one.

Elimu ya mungu na ujuz wake kwetu sisi wanadamu waambiwa ni sawa na kutoa tone moja dogo sana tena baharini yale maji yanayobaki ndio elimu yake.
Naambiwa na nani?
 
Lakini ungetusaidia kuwa ni mnyama yupi anaabudu.

Mnyama yupi ana lugha tata kama mwanadamu.

Kumbuka kuna hadi wanadamu wengine waliokuwapo enzi hizo, wasiokuwa na lugha walishaisha maana uwezo wao kuyakabili mazingira haukufikia uwezo waliokuwa nao kina sisi. Homo sapiens. Mbinadamu mwenye hekima - literal translation.
Wanadamu wapi hao mkuu. Na hata sisi wenye lugha tunaondoka pia, je tumekuwa illiteral beings?
And how does that make us human? I guess we will never know.
 
Back
Top Bottom