Kila kitu anaripoti kwa Mchungaji

Kila kitu anaripoti kwa Mchungaji

Ni bora ukalewa pombe waweza kuamkia SUPU pombe ikakutoka. Kulewa DINI ni janga na ni kitu kinachomwondolea mtu uwezo wa kufikiri kwa mantiki. Kuwa makini mkeo kulewa DINI/IMANI tena kulewa haswa.
 
Mkeo hana hekima ya ndoa, kimsingi anakudhalilisha. Sijui kama kila anapokushitaki mchungaji anakuita.. Ningeshauri siku akikuita mbele yake mwambie mchungaji live kuwa nakuachia wife maana naona anakuamini wewe kuliko mimi..utaona mchungaji kama hatajitoa..maana hata wao hawapendi wake zao kutangaza ya kwao..kwa stail ya mkeo. Hawezi kukua ktk ndoa..maana dawa ya changamoto za ndoa kwanza ni kudili nazo nyie wawili kabla ya kuwashirikisha wa nje!
 
Too much of everything is poisonous. Huyo mke wako ameokoka kupitilizia. Ni makosa sana kumwambia MTU yeyote siri za boma yake. Huyo sio WIFE MATERIAL.

Na kweli maana mwanamke mpumbavu huvunja nyumba kwa mikono yake
 
Hahaah.... Nyakati za Mwisho naoza zinavuka yaliyosemwa, Watumishi wanatumikia adi.......... Daaah!!
 
Na yeye kamshtakie kwa mama mchungaji. Mwambie nimekuja kumshtakia mpenzi wangu kwa dhambi anayofanya ya kuvunja amri ya sita na mimi kabla ya ndoa.
 
Mbona na wewe kila siku mashtaka jf, kama mtu wangu fulani fulani.


Kila mtu ana mahali pake, na mimba itakuwa amepewa na mchungaji.
 
Daaaa, kama namuona mzee wa upako juu ya kifua cha kondoo uku akisema pole dume lako ni jinga halijui maana maandiko yanasema likishindw dume mletee mchungaji atafune.
 
Back
Top Bottom