MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 16,042
- 40,568
Haya ni mambo ya zamani. Kisasa tunasema kila mtu na demu wake, embu tukumbushane maneno ya zamani yenye kutia ladha
break dance na kung-fu shoesKuyarudi madebe=kucheza Disco
Ninyi ndio munaoharibu uzi.Jiwe=?