Kila cku lakini leo kazidisha

in fact hastahili kupendwa coz hakutakiw kukacrika alitakiwa ajishtukie kwasabab amekudanganya na akuombe msamaha

yeye aliumbwa lakini neno nisamehe lilisahaulika kuwekwa kinywani mwake...hata akikosa yeye anadai me ndo mkosaji nimuombe msamaha
 
Shake well before use........aaaargh kumbe the content has expired already!!!!!!!

Tuuuuuuuuuuuuuupaaaa kuuleeeeeeeeeeeee
 
Ngoja nimsimulie mkasa huu dogo wangu wa Pre Standard 1 kisha nimpe Laptop akuchane live.

Maana inaelekea akili zako na JK au Peter P. M zipo sawa (Hamuwezi kufanya maamuzi magumu kila mara mpo kwenye mchakato)


Daaaah................mi nimeona hapo tu nilipobold.
 
Wewe tulia, usimpapalikie tena!! Mwache hivyo hivyo! akikuchunia basi ndiyo kimoja! Akijirudi (angalia na muda wa kujirudi) mpe laivu bila chenga A - Z nini hupendi, unatakaje na kwa nini ulimpenda yeye lakini kutokana na 1,2,3 .... inakuwia vigumu kumwamini tena.

nimekupata mtu mzma
 
Wanajamii nisaidieni mawazo yenu...ctaki kusimulia yaliyopita ila ni kwamba nilikuwa naongea na ninaeamini ni mpenzi wangu lakini ghafla kanambia kata cm mama anapiga tokea saa nne bt kila nikipga tena ipo call waitn,nikajaribu kumpigia mama ake akapokea nikazuga kumpa salam then nimerudi tena kwake cm ipo bado hewani anaongea...nikakata tamaa nimeamua kulala akanipigia anadai kaongea na mama yke ananisalimia....nikamwambia mpigie tena ye ndo anakusalimia amekasirika kwa nn nmempigia mama ake ucku bila kumtaarifu...je huyu anastahili kupendwa kweli?

kwa hisani ya watu wa marekani......
 
Pole sana mkuu. Kama umeinvest sana hapo ni wazi kuwa hilo ndo tatizo linalokusumbua juu ya hasara utakayoipata kwa kumtosa huyo kicheche!
 
wanajamii nisaidieni mawazo yenu...ctaki kusimulia yaliyopita ila ni kwamba nilikuwa naongea na ninaeamini ni mpenzi wangu lakini ghafla kanambia kata cm mama anapiga tokea saa nne bt kila nikipga tena ipo call waitn,nikajaribu kumpigia mama ake akapokea nikazuga kumpa salam then nimerudi tena kwake cm ipo bado hewani anaongea...nikakata tamaa nimeamua kulala akanipigia anadai kaongea na mama yke ananisalimia....nikamwambia mpigie tena ye ndo anakusalimia amekasirika kwa nn nmempigia mama ake ucku bila kumtaarifu...je huyu anastahili kupendwa kweli?

ras wakambo
 
kuna mtu hapo juu kanifurahisha anasema sikuhizi mvua zinanyesha bila hata mawingu, labda nikuibie siri ya kuishi na mpenzi wako kwa mda mrefu, taratibu usimwambie jirani...never usimchunguze mpenzio kwa nyendo anazofanya, baada ya yeye kukwambia kata ungekata ukalala mpaka hapo atakapo kutafuta japo karoho kangekuwa kunakuuma lkn ni for the best' trust me usipomfuatilia sana mpenzio huta pata stree.. ila ikitaka kufuatilia tu, utalipata jibu, na litakuuma sna
 
kaka hapo huna chako au wasubiri mpaka akusukume ubongo upate mtikisiko halafu ujifie???kama wasubiri hivyo nakushauri tu hakikisha unavaa helmet ukiwa unagombana nae.
 
kuna mtu hapo juu kanifurahisha anasema sikuhizi mvua zinanyesha bila hata mawingu, labda nikuibie siri ya kuishi na mpenzi wako kwa mda mrefu, taratibu usimwambie jirani...never usimchunguze mpenzio kwa nyendo anazofanya, baada ya yeye kukwambia kata ungekata ukalala mpaka hapo atakapo kutafuta japo karoho kangekuwa kunakuuma lkn ni for the best' trust me usipomfuatilia sana mpenzio huta pata stree.. ila ikitaka kufuatilia tu, utalipata jibu, na litakuuma sna
sasa unataka aendelee kufanywa bushoke????ABIRIA CHUNGA MZIGO WAKO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom