Kila Binadam amezaliwa na Jinn

Kila Binadam amezaliwa na Jinn

Hata ukimwambia mtu kuwa wachawi hutumia uume wa watoto wadogo kutengeneza filimbi unadhani ni wote watakuelewa...?

Wenye jicho tofauti kama sisi ndio tunaweza kukaa chini na kutafakari kwa upeo wa hali ya juu na kuweza kuelewa nini kinachoongelewa.
 
Haya ni mawazo hasi na yamewajaa watu ambao uwezo wao wa kufikiri na kuhoji uko katika kiwango cha chini sana. Ni watu wenye uwezo mkubwa wa kukariri. Wengi ni watu tegemezi na mapato yao makuu huyapata kwa washirika wao walio waathiri kisaikolojia, wenye uwezo kipesa kutoka vyanzo vya urithi au vyenye utata.
 
Ndo maana nchi ni masikini...watu wake wanakariri nonsense myth badala ya kujikita kwenye kazi za maendeleo....Eti kila mtu ana jini, kwani kila mtu ni director wa bongo movie ya jini kabula???

Qul, Yaa Ayyuhal Kaafiruun. Laa A'abudu Maa Ta'abuduun. Walaa Antum A'abiduna Maa A'abudu.
 
Huyu jamaa bana, kufyatua watoto tunaamrishwa na jini?, utamu wote ule wa papuchi wewe unasema ni dhambi?, aisee muone daktari haraka sana

Dini zote zinasema ni dhambi hiko kitendo. Labda kama ni mpagani. Sawa.
 
Sidhani kama kila mtu anaiamini hiyo quaran kama kitabu kitakatifu...I,e jifunze kutafakari kwa fikra huru mkuu...wengine wanaona hicho kitabu kama cha hadithi tu
 
Haya ni mawazo hasi na yamewajaa watu ambao uwezo wao wa kufikiri na kuhoji uko katika kiwango cha chini sana. Ni watu wenye uwezo mkubwa wa kukariri. Wengi ni watu tegemezi na mapato yao makuu huyapata kwa washirika wao walio waathiri kisaikolojia, wenye uwezo kipesa kutoka vyanzo vya urithi au vyenye utata.

Uulil Albaab.
 
Kwa hiyo tufanyeje? Na kama Mungu hakutaka twende kuangamia kwanini amuache hiyo sijui QARINI atuingilie na ashinde nguvu za Mungu?
 
Mmezoea majini tu! Anyway hadithi yako inatufundisha nini?
 
Back
Top Bottom