ndechilio shoo
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 997
- 366
kwa ujumla inategemea na akili ya mtu tu sio baba wala mama hapo,kuna wengine wanapewa kila kitu lakini ye ndo malaya,mwizi, ila wengine ni yatima hawamjui baba wala mama ila wananidham na wanajielewa,kwa sasa dunia imebadilika sana