MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 20,724
- 42,811
Wewe jamaa ni real definition ya SIMP
'Kumnyima' huwa ni kanuni ama msg nzuri sana kutumiwa na mwanamke ili kujipa thamani na kumfanya jamaa apate muda wa kujitafakari.Kuna rafiki yangu kanilalamikia sana leo, anasema ana mwanamke alimtongoza na wana miezi kama saba hivi.
Kila akimpanga kuja geto anatafuta visingizio ila jamaa anajitoa sana kwa mwanamke, akiomba pesa anapewa, akiomba pesa ya kusuka anapewa, jamaa akiomba waonane wanaonana sehemu kama kwenye migahawa ila akigusia tu kupewa mzigo mwanamke anatafuta sababu na siku hiyo hatatoka kabisa au atafute kaugomvi ili siku ipite.
Pia soma: Uhusiano wa pesa na sex kwenye mahusiano ya kimapenzi
Sasa jamaa kaja kuniuliza kwamba huyu mwanamke atakuwa anampenda kweli? Ananiambia kwenye simu ame seviwa "my favorite❤".
Kwakweli mimi nimeshindwa kumwambia kitu chochote maana mimi pia nina majanga yangu sija yapatia ufumbuzi, jamaa akitaka kumuacha mwanamke anakuwa mgumu kumuachia jamaa
Mwambie aende akajiangalie kwenye kioo alafu amwambie Yule jamaa wa kwenye kioo huo upumbavu anaoufanya.Kuna rafiki yangu kanilalamikia sana leo, anasema ana mwanamke alimtongoza na wana miezi kama saba hivi.
Kila akimpanga kuja geto anatafuta visingizio ila jamaa anajitoa sana kwa mwanamke, akiomba pesa anapewa, akiomba pesa ya kusuka anapewa, jamaa akiomba waonane wanaonana sehemu kama kwenye migahawa ila akigusia tu kupewa mzigo mwanamke anatafuta sababu na siku hiyo hatatoka kabisa au atafute kaugomvi ili siku ipite.
Pia soma: Uhusiano wa pesa na sex kwenye mahusiano ya kimapenzi
Sasa jamaa kaja kuniuliza kwamba huyu mwanamke atakuwa anampenda kweli? Ananiambia kwenye simu ame seviwa "my favorite❤".
Kwakweli mimi nimeshindwa kumwambia kitu chochote maana mimi pia nina majanga yangu sija yapatia ufumbuzi, jamaa akitaka kumuacha mwanamke anakuwa mgumu kumuachia jamaa
Huenda wana uhusiano wa kisiasa tu hawa.Kwahiyo hayo mahusiano yao yanahusiana na nn??
Mimi kuna demu nilimkuta na mimba ya miezi 6 na nikamgonga hivyo hivyo.Nilikuwa na demu wangu namla vizuri tu ila kwa kuvutana sana tukaja tukachuniana kama mienz mitatu hv tukaanza tena mahusiano kila nikitaka mzigo kona nyingi .....nakuja kusikia kwa watu ana mimba kubwa ya mienz saba.....hahahaha we H Mungu anakuona.
Nasikitika single mama mwingine kaongezeka maana nasikia mwana hasomeki huko.