iphone 18 promax
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,917
- 2,142
Jamani nina mchumba wangu lakini kila akitongozwa lazima aniambie na hata akitumiwa sms lazima anitumie hivi ananipenda kweli au ndio sera ya wanawake wa siku hizi

sio kila akitongozwa
sema kila akitongozwa na asio wapenda
subiri hiyo hali ndani ya mwaka kama itaendelea...ikiendelea nenda kaoe /kaolewe fasta:wave:
Jamani nina mchumba wangu lakini kila akitongozwa lazima aniambie na hata akitumiwa sms lazima anitumie hivi ananipenda kweli au ndio sera ya wanawake wa siku hizi
Anakuonyesha bado ana market na ukimzingua hatochelewa kupata mwingine
Jamani nina mchumba wangu lakini kila akitongozwa lazima aniambie na hata akitumiwa sms lazima anitumie hivi ananipenda kweli au ndio sera ya wanawake wa siku hizi
e bhana hapo kuwa makin the now ladies are so geneous