Kila akitendwa anakuja kunilaumu mimi

Kila akitendwa anakuja kunilaumu mimi

Habari wakuu

Kuna binti flani kamaliza chuo mwaka jana
Tulikua nae kwenye mahusino kama mwaka hivi kabla ya kutengana mwaka juzi mwishoni baada ya kugundua kuwa kuna baadhi ya vitu sivipendi toka kwake na ni natural

Sasa changamoto ni kuwa kila akianzisha mahusiano baada ya muda mfupi inaonekana yanakua hayawi vile alivotaraji na anakuja inbox kunieleza na kunilaum kwamba mie ndo nasababisha anazidi kuongeza namba ya wanaume eti mimi ndo nlikua mtu sahihi kwake

Binafsi najickia vibaya sana ila sina la kufanya naona kama anataka kuntengezea karma za kulazimishaView attachment 1186172
kwani mkuu alikuwa na tabia zipi usizozipenda hadi mkaachana?
 
Ongeza sauti tukusikie

ester
 
Back
Top Bottom