Kila akitendwa anakuja kunilaumu mimi

Kila akitendwa anakuja kunilaumu mimi

Yan kaka huwez amin hapa tulikua na muda kama miezi kadhaa hatuwasiliani ndo kancheki jana na hii ni mara ya 3
The gal bado anakupenda ndomana anajaribu kupata confort kutoka kwako maybe utamuonea huruma na umrudie n the more unamuintertain wakati huna malengo nae ni kuzidisha tatizo na si kumsaidia koz kwake wewe bado unaexist....
 
Hapana kwa kuwa girfriends zangu huwa nawajenga zaidi ya uhusiano ndo maana wakienda huko wanaona kama wanateseka sana
Analalamika au mtoa mada unazingua mbona utani mwingi hutasema hajaachwa huyo demu kashakuwa sugu wa mapenzi
 
Huyo hata halalamiki wala..mnachat tuu kishkaji we umeamua kuchukulia serious
Usione anacheka ni vile nimemjenga kirafiki sana lakini ni mara ya tatu hii anakuja kunambia kuhusu hili swala
 
Yan kaka huwez amin hapa tulikua na muda kama miezi kadhaa hatuwasiliani ndo kancheki jana na hii ni mara ya 3

Umenielewa nachomaanisha usimuintertain kama huna malengo nae kuna sababu ya kuitwa ex kama huamini dogo mpe mda mchache huyo manzi utakuja na uzi hapa
 
Embu fanya kama unamuomba mzigo alafu subiri matokeo tuone atamlaumu nani tena
 
Back
Top Bottom