Kila akitendwa anakuja kunilaumu mimi

Kila akitendwa anakuja kunilaumu mimi

Singasinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
2,741
Reaction score
3,316
Habari wakuu

Kuna binti flani kamaliza chuo mwaka jana
Tulikua nae kwenye mahusino kama mwaka hivi kabla ya kutengana mwaka juzi mwishoni baada ya kugundua kuwa kuna baadhi ya vitu sivipendi toka kwake na ni natural

Sasa changamoto ni kuwa kila akianzisha mahusiano baada ya muda mfupi inaonekana yanakua hayawi vile alivotaraji na anakuja inbox kunieleza na kunilaum kwamba mie ndo nasababisha anazidi kuongeza namba ya wanaume eti mimi ndo nlikua mtu sahihi kwake

Binafsi najickia vibaya sana ila sina la kufanya naona kama anataka kuntengezea karma za kulazimisha
IMG_20190820_185634_148.jpeg
 
Back
Top Bottom