Kila akija wa kike nifanye nini na hamu na wakiumme

masanzu

masanzu

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Messages
607
Likes
133
Points
60
masanzu

masanzu

JF-Expert Member
Joined May 6, 2013
607 133 60
HBR wanajf naomba kujuwa ni wakati gani mtoto wa kiume anapatikana maana nimekuwa nikibahatika kupata watoto wa kike tu
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,027
Likes
5,484
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,027 5,484 280
HBR wanajf naomba kujuwa ni wakati gani mtoto wa kiume anapatikana maana nimekuwa nikibahatika kupata watoto wa kike tu
Inatakikana ujuwe ni sikugani kila mwezi anapata siku zake mke wako? Ndio utaweza kumpa mimba atazaa mtoto wa kiume Kwa Mfno ( Mimba inaingia siku ya 12 hadi 15 toka siku ya kwanza ya hedhi.

Mfano mwanamke anaingia kwenye hedhi tarehe 3 may basi huyu atashika mimba tarehe 15may hadi tarehe 18may maana tarehe 15may ni siku yake ya 12.

Sasa basi ukitaka mtoto wa kike basi tembea na mkeo tarehe 14may siku ya 11 ambayo kwa kawaida sio siku ya mzunguko ya kupata mimba.

Mbegu za watoto wa kike zinachelewa kufa ndani ya uke.

Mbegu zinazoleta mtoto wa kike hufa ndani ya uke baada ya masaa 24 lakini mbegu zinazoleta mtoto wa kiume hufa baada yamasaa 4 na zina nguvu kwelikweli maana ukipiga bao moja linatosha kuzalisha .baada ya muda huo bao hilo halizalishi maana nguvu yake inakuwa imeisha.

Kwa kifupi kuna vitu vingi vinavyoungana kwa pamoja .Kuna kunawa baada ya tendo.

Mwanamke asinawe kabisa maji ya baridi maana ataathiri mwendo wa mbegu hizo.

Akilazimika kunawa basi yawe maji ya moto. Jaribu njia hii utafanikiwa kumpata mtoto unaemtaka..cc.@
masanzu

Burudika na mkeo masaa 12 kabla ya ovulation. Inabidi ujue tarehe kamili yai linapotoka.

Vile vile usiwe unapenda kuburudika mara kwa mara na mkeo, inabidi kulenga siku ile ya ovulation.
Ukifanya hivi lazima atatokea baby boy.
 
masanzu

masanzu

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Messages
607
Likes
133
Points
60
masanzu

masanzu

JF-Expert Member
Joined May 6, 2013
607 133 60
ASANTE SANA mkuu MziziMkavu kwa ushauri wako ntaufanyia kazi mkuu asante sana
 
gody

gody

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2010
Messages
1,222
Likes
60
Points
145
gody

gody

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2010
1,222 60 145
MziziMkavu elezea na mimi bana
bleed imeanza tar 16 may -19 may
saidia mkuu!!Y
 
Last edited by a moderator:
M

mndeewake

Senior Member
Joined
May 3, 2013
Messages
118
Likes
3
Points
35
M

mndeewake

Senior Member
Joined May 3, 2013
118 3 35
la msingi ni kujua mzunguko wa hedhi wa mkeo kama ni ule wa siku 28 ni rahisi kutegea kutoka kwa yai.. tangu siku ya 11 mpk 18 hapo yai la weza kutoka na zaidi uwe unapima ute kwenye sehemu za mkeo, siku hii ute huwa wa kutosha na mwanamke mwenyewe pia huwa na hamu zaidi ya kukutana na mumewe kwa kipindi hiki,hata yeye nadhani anaweza kukusadia hilo. kwa kuwa mbegu za kuzalisha mtoto wa kiume zipo fast ni na huwahi kufika kukutana na yai, ukiweza kutegea ovulation utaweza kupata. Pia maandalizi ya chakula kwa kipindi hiki ni yakuzingatia unaweza kugoogle hapo ukaona, na pia unaweza kupumzika kukutana nae kwa mda kabla ya hilo tendo na haimaanishi ukapige nje maana utazitoa, mantiki nikuzipa afya na kuzilinda ili kufikia malengo, kama mna nia wote wawili mnaweza kufanikiwa. nilijaribu hayo na nikafanikiwa. jaribu na wewe.
 
masanzu

masanzu

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Messages
607
Likes
133
Points
60
masanzu

masanzu

JF-Expert Member
Joined May 6, 2013
607 133 60
mndeewake.kwani ukisema kujaribu unakuwa hauna uhakika mkuu
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,027
Likes
5,484
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,027 5,484 280
MziziMkavu elezea na mimi bana
bleed imeanza tar 16 may -19 may
saidia mkuu!!Y
Hesabu siku ya 11 -15 toka uanze bleed mfano kama hiyo Tarehe 16+11=27 kuanzia tarehe 27 au 28 au 29 angeweza kushika mimba angalia huu mwezi kisha uongeze na siku 11 mbele baada ya siku ya 11 unaweza kumpatia mimba jaribu hivyo kisha unipe Feedback.
 
L

Larusai Mux

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
978
Likes
48
Points
45
L

Larusai Mux

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
978 48 45

mkuu Mzizi Nakupata vzuri,kuongeza siku 11 kutoka tar16 ni hesabu rahisi.,
sasa naomba useme kua wa kike unaongeza ngap,na wa kiume unaongeza siku ngapi!,samahan km utaonana unarudiarudia,ila hii yote ni kutupa weledi zaidi. Asante
 
M

MzalendoHalisi

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2007
Messages
3,908
Likes
184
Points
160
M

MzalendoHalisi

JF-Expert Member
Joined Jun 24, 2007
3,908 184 160
Njoo tu kwangu/kwetu!!!

Sisi tumezaliwa watoto 5 wa kiume.. na tuna watoto 21. Kati ya hawa 20 ni wa kiume na mmoja tu wa Kike!

Tunatafuta sana watoto wa kike mimi na kaka zanngu muda mrefu hatujapa!
 
L

Larusai Mux

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
978
Likes
48
Points
45
L

Larusai Mux

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
978 48 45
mkuu Mzizi Nakupata vzuri,kuongeza siku 11 kutoka tar16 ni hesabu rahisi.,
sasa naomba useme kua wa kike unaongeza ngap,na wa kiume unaongeza siku ngapi!,samahan km utaonana unarudiarudia,ila hii yote ni kutupa weledi zaidi. Asante
wapi Mkuu Mziz Mkavu,karibu tena
 
Msingida

Msingida

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Messages
4,462
Likes
1,447
Points
280
Msingida

Msingida

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2010
4,462 1,447 280
Somo zuri,limeeleweka ni kukazia maarifa.Mzizi mkavu akija atujuze na hali ya ute kwa kipindi hicho kwa mwanamke unakuwaje?
 
J

Jalem

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2011
Messages
217
Likes
6
Points
0
J

Jalem

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2011
217 6 0
la msingi ni kujua mzunguko wa hedhi wa mkeo kama ni ule wa siku 28 ni rahisi kutegea kutoka kwa yai.. tangu siku ya 11 mpk 18 hapo yai la weza kutoka na zaidi uwe unapima ute kwenye sehemu za mkeo, siku hii ute huwa wa kutosha na mwanamke mwenyewe pia huwa na hamu zaidi ya kukutana na mumewe kwa kipindi hiki,hata yeye nadhani anaweza kukusadia hilo. kwa kuwa mbegu za kuzalisha mtoto wa kiume zipo fast ni na huwahi kufika kukutana na yai, ukiweza kutegea ovulation utaweza kupata. Pia maandalizi ya chakula kwa kipindi hiki ni yakuzingatia unaweza kugoogle hapo ukaona, na pia unaweza kupumzika kukutana nae kwa mda kabla ya hilo tendo na haimaanishi ukapige nje maana utazitoa, mantiki nikuzipa afya na kuzilinda ili kufikia malengo, kama mna nia wote wawili mnaweza kufanikiwa. nilijaribu hayo na nikafanikiwa. jaribu na wewe.
Ndugu zangu, kuna rafiki anaomba msaada, mkewe anatatizo la kaifya, due to Aids, lkn wangependa wazae mtoto, je wafany nini ili mume asiambukizwe?
 
L

Larusai Mux

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
978
Likes
48
Points
45
L

Larusai Mux

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
978 48 45
Mkuu Mzizi Mkavu uko wap?
 
L

Larusai Mux

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
978
Likes
48
Points
45
L

Larusai Mux

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
978 48 45
Gody mbna kama jina lako ni la ki.ume? Si tunahitaj msaada wa mkuu Mzizi Mkavu,au we ni nan yake?
 
M

mndeewake

Senior Member
Joined
May 3, 2013
Messages
118
Likes
3
Points
35
M

mndeewake

Senior Member
Joined May 3, 2013
118 3 35
Ndugu zangu, kuna rafiki anaomba msaada, mkewe anatatizo la kaifya, due to Aids, lkn wangependa wazae mtoto, je wafany nini ili mume asiambukizwe?
nadhani wakienda kwa wataalamu wa mambo ya ukimwi na siku hizi ni wengi, madaktari waliojifunza hilo, watawashauri vizuri tu wanaweza fanikiwa hilo.
 
Forum statistics

Threads 1,272,639
Members 490,036
Posts 30,455,712