Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inatakikana ujuwe ni sikugani kila mwezi anapata siku zake mke wako? Ndio utaweza kumpa mimba atazaa mtoto wa kiume Kwa Mfno ( Mimba inaingia siku ya 12 hadi 15 toka siku ya kwanza ya hedhi.HBR wanajf naomba kujuwa ni wakati gani mtoto wa kiume anapatikana maana nimekuwa nikibahatika kupata watoto wa kike tu
Hesabu siku ya 11 -15 toka uanze bleed mfano kama hiyo Tarehe 16+11=27 kuanzia tarehe 27 au 28 au 29 angeweza kushika mimba angalia huu mwezi kisha uongeze na siku 11 mbele baada ya siku ya 11 unaweza kumpatia mimba jaribu hivyo kisha unipe Feedback.
Hesabu siku ya 11 -15 toka uanze bleed mfano kama hiyo Tarehe 16+11=27 kuanzia tarehe 27 au 28 au 29 angeweza kushika mimba angalia huu mwezi kisha uongeze na siku 11 mbele baada ya siku ya 11 unaweza kumpatia mimba jaribu hivyo kisha unipe Feedback.
mkuu Mzizi Nakupata vzuri,kuongeza siku 11 kutoka tar16 ni hesabu rahisi.,
sasa naomba useme kua wa kike unaongeza ngap,na wa kiume unaongeza siku ngapi!,samahan km utaonana unarudiarudia,ila hii yote ni kutupa weledi zaidi. Asante
la msingi ni kujua mzunguko wa hedhi wa mkeo kama ni ule wa siku 28 ni rahisi kutegea kutoka kwa yai.. tangu siku ya 11 mpk 18 hapo yai la weza kutoka na zaidi uwe unapima ute kwenye sehemu za mkeo, siku hii ute huwa wa kutosha na mwanamke mwenyewe pia huwa na hamu zaidi ya kukutana na mumewe kwa kipindi hiki,hata yeye nadhani anaweza kukusadia hilo. kwa kuwa mbegu za kuzalisha mtoto wa kiume zipo fast ni na huwahi kufika kukutana na yai, ukiweza kutegea ovulation utaweza kupata. Pia maandalizi ya chakula kwa kipindi hiki ni yakuzingatia unaweza kugoogle hapo ukaona, na pia unaweza kupumzika kukutana nae kwa mda kabla ya hilo tendo na haimaanishi ukapige nje maana utazitoa, mantiki nikuzipa afya na kuzilinda ili kufikia malengo, kama mna nia wote wawili mnaweza kufanikiwa. nilijaribu hayo na nikafanikiwa. jaribu na wewe.
wanaita hivi wenzio ndo muhusika anasikiaMkuu Mzizi Mkavu uko wap?
Mkuu MziziMkavu uko wap?
Ndugu zangu, kuna rafiki anaomba msaada, mkewe anatatizo la kaifya, due to Aids, lkn wangependa wazae mtoto, je wafany nini ili mume asiambukizwe?