ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,589
Happy Birthday ladyfurahia, hongera sana mkuu Mentor kwa kuendelea kutunza/kulea, Mungu awape maisha marefu yaliyojaa furaha, upendo, amani, hekima, busara na yote yampendezayo Mungu.
wanabadilisha venyu..........
ladyfurahia hongera kwa kuongeza idadi ya miaka katika cv yako ya duniani.....mungu akupe maisha marefu ya kuwastajabisha wanadamu.....amen
happy birthday ladyfurahia mungu akupe maisha marefu uwaone wana wa wana. Yaani ufike umri mtimilifu ikiwezekana na bonus upewe lol.
haalellujah!!
weeee?!!!mtoe
huby wangu Ruttashobolwa
kwny hiyo listi plssssss!!!
Happy birthday to you sweety:A S kiss:
keki ya makande ki.s.h.u.m.b.a au?ameniiiiiiiiiiiiiiiiiii ubarikiwe nakula ndizi na keki ya makande hapa karibu japo kwa kuona sura ya makande ukutani hapo kwako au samaki kama ndugu zangu kabila fulani silitaji nitatwangwa makofi hapa
acha nimtoe sikujua kabisa kwamba kuwa ni wandugu yangu pls i'm sorry my brethren
aksante mkuu ubarikiwe kwa maneno yako matamu yaliyojaa bashasha yenye mvuto wa hisia kali ndani ya ........................... weka hapo mkuu
happy birthday ladyfurahia! hongera Mentor! nawaasa muendelee kupendana zaidi na zaidi! kila birthday ya mmoja wenu ifikapo, ifanyeni iwe ni mwanzo mpya ya maisha yenu ya furaha, ya kale yenye kuudhi na yasahaulike kabisa!!
duuh happy belated bday ladyfurahia!
Moyo a.k.a Mtima, kama nimekosea mezea/kausha.
na mimi nakupa hii hapa shostito
View attachment 94131
duuh happy belated bday ladyfurahia!