Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
Wahenga walisema, kila aguswaye na pendo huwa mshairi,
na leo nipo hima, kulitoa la moyoni kamwe lisiwe siri,
kwa shauku ninahema, ka nilietoka kubikiri,
heri siku kuzaliwa, mwandani wa wangu moyo!!!
HAPPY BIRTHDAY ladyfurahia....u r just like fine wine, matures with age!!! Nilipokuona leo asubuhi, u mzuri kama siku niliyo lay my eyes on you kwa mara ya kwanza kule kijijini kwenu nilipokuja kikazi na bosi wangu! Nikakupenda na sikuchelewesha kukujulisha nia na haja ya moyo wangu kwako..nikakuoa na kukuweka ndani na hata sasa...hata sasa bado ninakupenda na u mzuri mwenye sura ya binti mchanga!!!
Nakutakia heri na fanaka katika siku yako hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwako...Upate furaha tele na May God grant you all your heart's desires..this day and throughout the year!!!
HAPPY BIRTHDAY MPENDWA WA MOYO WANGU.
Last edited by a moderator: