kikwetukwetu

kikwetukwetu

549675_368882663185551_59552138_n.jpg

Mkuu englibertm uko juu sana na asante sana kwa kuifanya JF sehemu nzuri sana,hizo picha zako kila siku zinatukosha kwa kweli!
 
Last edited by a moderator:
Umekauka bhana nowadays naskia umejza mchanag tu, Umba River si ndio unaenda kwenye ile Mbuga ya wanyama kule Lushoto nimeisahau jina, hotateiiiii itabidi nirudi kidogo
Duh! Hapo tunajipanga kuogelea kwenye mto umba kule mlalo. Na ule mchanga kama baharini vile.
 
Umekauka bhana nowadays naskia umejza mchanag tu, Umba River si ndio unaenda kwenye ile Mbuga ya wanyama kule Lushoto nimeisahau jina, hotateiiiii itabidi nirudi kidogo

Ni kweli mkuu Elli ukisimama ndani xa maji yaishia kwenye nguyu tu. Nilipitaga enzi kidogo pande zile wakati huo twaenda umiseta wilaya pale Mlalo.
 
Last edited by a moderator:
Jambo la kusikitisha:wakikuwa wakipata nafasi nyeti za kutumikia umma--bado wanakuwa mafisadi tu....
 
Mkubwa mmoja tu hapo..chululu yake inaonekana kutokea nyuma...!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom