Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,999
- 1,187
Alijua kuwa anawaboa watu na maneno yake yasiyo na mbele wala nyuma, ndio maana watu wanaona bora kuangalia mpira kuliko kumsikiliza kiongozi wao. Na analifahamu hilo fika ndio maana aliwaomba radhiJuzi kwenye maswali mwisho aliwaomba radhi eti ohh kachukua muda mwingi hadi mechi ya mpira karibia inaisha ..... lol
mpira ni muhimu!!!!
kuhusu maisha bora kwa kila mtanzania...........ndiyo maana mimi huwa siwezi kupoteza muda wangu kusimama kwenye mstari muda mrefu ili kupiga kura..KAMWE SINTOFANYA UPUUZI HUU....huwa nawaambia watu wananishangaa...huwa nawauliza nifanye effort zote ili iweje???kwa faida ya nani???..sababu naamini kabisa hakuna faida ya pamoja...ila ni kwa baadhi ya watu ambao wanahusiana kwa namna moja au nyingine na atakayechaguliwa...hivyo siwezi kumchangua mtu ambaye sintopata faida kwake...yaani kama hatujuani kabisa,ni hapana...........ndivyo ilivyo
Amezidi uswahili naye klol hata zile attitudes na mwonekano ambao rais anatakiwa kuzicarry hana !! Sijui tumemwokota wapi huyu naye!!
jamani nyie today i feel for him
muhurumieni Mr Prezident 🙂
Kweli wewe ni Firstlady.
jamani nyie today i feel for him
muhurumieni Mr Prezident 🙂
Vipi firstlady, umeahidiwa unaibu waziri nini???
sijaahidiwa chochote ahadi zetu sisi huwa ni fake promise ,,
nachoomba tu serikali inipe matrekta na Mafuta ya kilimo mwaka huu
mnisamehe ...
Kina mama pia endeleeni kuzaa wasichana wazuri kwani katika miaka hii miwili hata kwenye mashindano ya urembo duniani tumetamba
Masanilo,
..nimesema alitoa kauli hiyo ktk mkutano wa UWT-CCM.
..najua ni vigumu kuamini kwamba alitoa kauli hiyo. mimi kilichonishangaza zaidi ni kuikuta ktk text ya hotuba yake. sasa naogopa kuamini kwamba aliandikiwa na akaisoma.
..au labda aliandika mwenyewe hiyo hotuba, manaake kama wewe ni speech writer lazima uwe na uoga kidogo kumuandikia Raisi utumbo kama huo.
..hotuba mzima iko kwenye link hii hapa chini ambayo ni website ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
.. bonyeza hapa
Masanilo,
..au labda aliandika mwenyewe hiyo hotuba, manaake kama wewe ni speech writer lazima uwe na uoga kidogo kumuandikia Raisi utumbo kama huo.
..hotuba mzima iko kwenye link hii hapa chini ambayo ni website ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
.. bonyeza hapa
Kina mama pia endeleeni kuzaa wasichana wazuri kwani katika miaka hii miwili hata kwenye mashindano ya urembo duniani tumetamba. Nancy Sumari alipata tuzo ya Mrembo Bora wa Afrika katika mashindano ya Miss World mwaka jana. Mwaka huu, kwenye mashindano ya Miss Universe, binti wa Kitanzania, Flaviana Matata, naye alifanya vizuri.
..tena hii anaelekea iliandikiwa ktk hotuba yake