yaani hapo nilichoka kabisa............hivi hajui kuwa hata vipanga huwa wanajiandaa inapofikia ocassions kama zile!!
mara nyingi kikwete akizungumza huwa sometimes nafeel embarased
top three ya mazungumzo ya kikwete yaliyo ni disapoint ni hii
1.alienda mwanza mara baada ya kuchaguliwa kuwa rais
alizungumza mengi lakini mwisho alisema namnukuu 'wananchi wa mwanza nataka kulibadilisha hili jiji lenu liwe kama carlifornia ' na hii ilikuwa hadharani kwenye uwanja wa ccm kirumba.
2.akifanya mkutano wa waandishi wa habari mwanzoni kabisa,kuna mwandishi mmoja wa kike alimuuliza swali kuhusu nchi kurusu bidhaa duni kuingia na uhai wa manufacturing industry.yeye alijibu huku akijionyesha
mtoto wa mjini anaejua mavazi,akaanza kutaja labels za nguo,na mwisho akasema kwa kuwa sio wote wanamudu nguo mpya,basi ruksa watu kuingiza nguo duni
3.HII ilikuwa ile hotuba yake maarufu ya bungeni,watu nchi nzima tunasubiri ripoti ya epa ataizungumziaje,yeye akatumia mda mwingi
kuchekesha watu,top ilikuwa pale aliposema kula uliwe
..the most embarassing statement ni pale aliposema kuwa serikali ikiruhusu wanafunzi waliojifungua kurudi shuleni matiti yao yatakuwa yakichirizika maziwa madarasani.
NB:
..naomba mwenye ile speech atuletee hapa jamii forums.
Ni aidha JK ni mswahili mno kufuata alicho andikiwa kwenye hotuba au hao wanaomuandikia hotuba nao hawajui kuandika. Kama anatoaga speeches spontaneous aache kwa maana siyo kila mtu anayeweza kuhutubia kutoka kichwani kwa mpangilio mzuri. JK charisma inamsaidia sana la sivyo mh...
kula uliwe maana yake ni ili ufanikiwe lazima uwekeze ama pesa au nguvu zako.usitegemee kufanikiwa bila kuwekeza kwanza!!!!!!!!!!!!!!!!!!

By the way, I like this quote from JFK.
If only our prez, could talk like this, lakini mh!.......Yamtokayo mtu ndo yaliyojaa moyoni, right?...shughuli si ndogo!
Hey Kui za siku? Thanks I like the quote too. Lakini viognozi wetu wao wana jiuliza nchi ita wafanyia wao nini.
..the most embarassing statement ni pale aliposema kuwa serikali ikiruhusu wanafunzi waliojifungua kurudi shuleni matiti yao yatakuwa yakichirizika maziwa madarasani.
NB:
..naomba mwenye ile speech atuletee hapa jamii forums.
Na pia aliposema hakini wa Tanzania unatokana na niniKwangu his most embarassing speech ni pale aliposema maisha bora kwa kila Mtanzania. Nilijua kutokana na rekodi yake hataweza lakini nikabishiwa, nikabezwa, nikaambiwa JK we acha tu...
..the most embarassing statement ni pale aliposema kuwa serikali ikiruhusu wanafunzi waliojifungua kurudi shuleni matiti yao yatakuwa yakichirizika maziwa madarasani.
NB:
..naomba mwenye ile speech atuletee hapa jamii forums.
..the most embarassing statement ni pale aliposema kuwa serikali ikiruhusu wanafunzi waliojifungua kurudi shuleni matiti yao yatakuwa yakichirizika maziwa madarasani.
NB:
..naomba mwenye ile speech atuletee hapa jamii forums.
Juzi kwenye maswali mwisho aliwaomba radhi eti ohh kachukua muda mwingi hadi mechi ya mpira karibia inaisha ..... lol
mpira ni muhimu!!!!