Kikwete's 'Maisha Bora kwa Kila Mtanzania'

Tatizo lenu hamjielewi na inavyoonekana nyie wote ni vyama pinzani endeleeni hivyo hivyo na huo ujinga wenu mtabaki kusema tu na mpaka midomo yenu itawanuka kwa kusema vitu visivyo vya msingi.Kama mkekuwa na uchungu na nnchi yenu basi msinge fanya makosa 2010.ETI MNASEMA MIAKA 50 FOR NOTHING NANA KAWAAMBIA NYIE!!!!!!!!!!Kama ingekuwa ni ivyo basi tusinge kuwa hapa tulipo.ACHENI USHAMBA WENU NYIE NA MSIPO ANGALIA MTABAKI IVYO IVYO KUSEMA N KUPONDA TU ILA CMM JUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
 
Hivi Issa we hayo maisha bora umeyaona? Wenzio miaka hamsini ya CCM hatujayaona. Umasikini umekithiri saaaana. Labda mwenzetu unakaa zile sehemu za.............. Hebu tembelea sehemu tunazokoishi watanzania, uone tulivyochooooooka!! Ndiyo maana tunasema hebu kije chama kingine tuone sera zake. Kikishindwa nacho tutakipiga chini. Ila naona CDM kitaweza kututoa hapa tulipo. Soma sera zao.
 
Tatizo lenu hamjielewi na inavyoonekana nyie wote ni vyama pinzani endeleeni hivyo hivyo na huo ujinga wenu mtabaki kusema tu na mpaka midomo yenu itawanuka kwa kusema vitu visivyo vya msingi.Kama mkekuwa na uchungu na nnchi yenu basi msinge fanya makosa 2010.ETI MNASEMA MIAKA 50 FOR NOTHING NANA KAWAAMBIA NYIE!!!!!!!!!!Kama ingekuwa ni ivyo basi tusinge kuwa hapa tulipo.ACHENI USHAMBA WENU NYIE NA MSIPO ANGALIA MTABAKI IVYO IVYO KUSEMA N KUPONDA TU ILA CMM JUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
He!! Issa kumbe una matusi!! Ulianzisha thread ili ututukane!! Sio nasi tutoe mawazo yetu!! Sisi hayo maisha bora hatujayaona. Mwenzetu labda umeyaona kwa vile ............ unajua wewe. Asilimia kubwa ya watanzania bado ni masikini. Issa fanya utafiti mdogo tu pato la taifa ukigawa kwa watanzania ni shilingi ngapi na huko nyuma ilikuwa shilingi ngapi. Unaweza kusema ni dogo kwa vile idadi ya watu imeongezeka lakini pato si linatakiwa liongezeke pia!!!! Hicho ndicho kigezo ambacho wachumi duniani wanatumia kujua kama nchi ni masikini au la ingawa hakifai sana. Lakini kwa vile hakuna mbadala tutumie hichohicho. Mfumuko wa bei unavyopanda kila kukicha ndio maisha bora!!!! Uko nch gani mwenzetu, uko bongo kweli? Sidhani.
 
Jamani huyu ni MS aka MUHADHIRI wala msipate tabu !
 
okey ndugu zangu nilikuwa nawapima mawazo yenu ila ili tuweze kutoka katika umaskini tulio kuwa nao inabidi wote tushilikiane kwa pamoja kwa kusema basi ila tukibakia kulumbana katika majukwaa haitasaidia hata kidogo.
 
Hi people? Tukitaka tuhijenge nchi yetu basi nawaomba tuache malumbano,kutukanana,na kusemana maneno vibaya katika majukwaa ila nawambia tukiendelea na marumbano na kutukanana bsi hayo maisha bora na maendeleo tuta yasikia kwa nchi za wenzetu.
 
Umepewa pipi sio? Maisha bora kwa wapuuzi walio gizani kama wewe! Nahisi we ni kibaraka, kwa msaada kavue tena hilo gamba kabla halijakomaa maana linaanza vibaya, umesikia we junior?
 
Maisha bora kwa mtanzania yanawezekana kuletwa na CCM na wala si chama kingine hapa Tanzania.Hivi vyama vingine kazi yao kuchochea vurugu na chuki kwa wananchi wa Tanzania.CHAMA CHA MAPINDUZI NI CHA CHA UKWELI KULIKO VYOTE HAPA TANZANIA.

Ng'we, ng'we, ng'we, ng'we, ng'we, ng'we, ng'we, ng'we, ng'we.............................
Yani thread ya kwanza na makamasi!
 
Maisha bora kwa mtanzania yanawezekana kuletwa na CCM na wala si chama kingine hapa Tanzania.Hivi vyama vingine kazi yao kuchochea vurugu na chuki kwa wananchi wa Tanzania.CHAMA CHA MAPINDUZI NI CHA CHA UKWELI KULIKO VYOTE HAPA TANZANIA.

"I don't trust society to protect us, I have no intention of placing my fate
in the hands of men whose only qualification is that they managed to
con a block of people to vote for them." - Mario Puzo (The Godfather)
 
mna strategy mpya ya kuleta hayo maisha bora?kama mnajua kusoma alama za nyakati,kuleta uhuru doesnt sale anymore.u need a new pick line!
 
Huwezi kumshawishi m2 mwenye akili zake timamu akakuelewa kuhusu hao ndugu zako ccm, apana apana apana.
 
Uwongo mtupu labda maisha bora kwa kila kiongozi ukiangalia maisha yanazidi kuwa magumu bei za kila kitu dukani/sokoni vinapanda kweli wafanyakazi wakulima hatuna tofauti mi naweza kusema kama walivyosema kwenye mei mosi,tanzania tunakuwa kama watumwa sometime tunahitaji moyo kushinda sammc
 
Unajua ukizungumzia maisha bora kwa kila mtanzania inabidi uangalie vijijini kwanza ndipo mjini ,familia ya kijijini iwe na uhakika wa kula mienzi yote kumi na mbili na sio usiku tu 3time per day na wa mjini yule wa kipato cha chini lakini hali ilivyo mungu ndo anajua familia nyingine hata ugali kwao kitendawili so maisha kwake ni bora?sammc
 
Huwezi kumshawishi m2 mwenye akili zake timamu akakuelewa kuhusu hao ndugu zako ccm, apana apana apana.

Tatizo lao Chama Cha Magamba wanaamini kuwa wakirudia rudia uongo saaaaana watu watauamini. Kaaazi kweli kweli kutetea Magamba.
 
100_0242.JPG
 
Back
Top Bottom