Kikwete's farewell speech at Madiba's funeral Qunu

Kikwete's farewell speech at Madiba's funeral Qunu

Did He mention that KANU operated in favor of Boers?
 
President Jakaya Kikwetu must learn from his speech he made yesterday
that we can make it without white people
Today President JK believes that making a lot of trips to white people's countries; he will get more aids from them which is completely wrong.
He must understand no free lunch in this century, they give and they take. And for them they used to double even triple when they return what they gave you, watch out!!

Mobutu Seseseko of ZAIRE is the only match of Kikwete in the Great Lakes Region.
 
President Jakaya Kikwetu must learn from his speech he made yesterday
that we can make it without white people
Today President JK believes that making a lot of trips to white people's countries; he will get more aids from them which is completely wrong.
He must understand no free lunch in this century, they give and they take. And for them they used to double even triple when they return what they gave you, watch out!!

Acha kupotosha ukweli JK haendi kuomba misaada bali kuwavutia wawekezaji ka kwekeza TZ mbona mnapendakuonea uongo? mf ile Sullevan Summit lengo lake lilikuwa kuoma misada,wewe mwenyeweunayemlaumJK huenda una ndguanaomaje ya nchi au rafiki, unasabikia moja wapo ya club za ulaya hilo huloni!
 
I think we have passed that.... Ni kweli kikwete ni mtu wa aids licha ya kwamba anapigia pia kelele suala la wabongo wa nje kutokuwekeza nchini kwao....tuna resources but really,with our tech,namba ndogo ya experts kwenye science.....we will either keep on aids au mikataba ambayo Mara nyingi inatunyonya......till when?....that's our choice
 
na uhuru alihudhuria, alipataje aibu?..., mtu mwingine ni joyce banda, ambaye alitoa hata hotuba wakati kipindi Tanzania inawasaidia wasouth, malawi ilikuwa inasapoti makaburu na wareno. ni aibu kwamba walimruhusu yule mama kutoa hotuba.malawi hakika hawana rais pale.
Rais J.Banda ni bingwa wa maigizo, hotuba yake ya jumapili iliniacha hoi - alisema eti sijui alimuota N.Mandela akimvuta kutoka chumbani sijui kwenda wapi? Eti ndoto hiyo ilikuwa inahashiria yeye kuteuliwa kwake kuwa Rais wa Malawi! Hii ilikuwa ni adithi ya kutunga tu yenye lengo la kuchota akili za wasikilizaji/waombolezaji, siamini kama nchi ya Malawi na Viongozi wake waliwahi kuwa karibu na chama cha ANC au Mandela in particular, kama angezungumzia De Clerk na makaburu ningemuelewa!!
 
Home » News » President Jakaya Kikwete's speech at Mandela Funeral SHAMED Kenyatta Regime




President Jakaya Kikwete's speech at Mandela Funeral SHAMED Kenyatta Regime

Posted in: News|December 15, 2013

54620
Tanzania's President Jakaya Murisho Kikwete was accorded a stunning ovation in his tribute to the late Nelson Mandela.
President Kikwete's speech made shame of Jomo Kenyatta regime that failed to help ANC set base in Kenya. Kikwete highlighted the support given by Mwalimu Julius Nyerere to the struggle against apartheid in South Africa.
Kikwete named TANU, ANC, ZANU PF, FRELIMO and SWAPO as comrades, KANU was left OUT!
"Tanzania under Julius Nyerere helped Black people struggle for emancipation in SA. Kenya under Jomo Kenyatta helped Boers/Whites to oppress and subjugate Black people in SA. Today, Jakaya Kiwete was global platform to pay tribute to global icon" George Nyongesa posted in his Facebook Page.
SOURCE: KENYABLOGS.COM
So Tanzania participated in the aborlition of apertheird in SA.......whats the point in bringing in KE? is KE the only nation that didn't participate in the struggle??
 
So Tanzania participated in the aborlition of apertheird in SA.......whats the point in bringing in KE? is KE the only nation that didn't participate in the struggle??
Walaumu wakenya wenzako wa kenyablogs.com kwa kuandika hiyo makala. Halafu sio apertheird, ni apartheid!
 
#Mtazamo wangu lakini-: Nafikiri hotuba ya Rais Kikwete rambirambi kwa hayati Mandela na wananchi wa S.Afrika nadhani imelenga kufariji na kuonyesha ushirikiano mzuri wa TZ kwa wanamapinduzi na wapigania uhuru kama Mandela..Lakini hili la pili kuanika mbinu za ndani zilizotumika kuwasaidia ni kupelekea watanzania kutoaminika na kuonekana wajanja wajanja kila 2takapokuwa, usishangae ukasafiri nchi za watu halafu jina lako halisi na passport yako ukakomaliwa kuwa vina mashaka, we should take this into high consideration

Nafikiri kwenye hotuba yake alitakiwa kuelezea sifa za mandela kwa nn we highly rated him, lkn badala yake akatumia fursa hiyo kuisifia tz jinsi gani ilivyoshiriki kwenye liberation and eradication of apartheid kwa kutumia mbinu ambazo ni kinyume na sheria na maadili ya kimataifa, that's not good at all.
 
Nani aliandika hiyo hotuba? kudos kwa aliyeandika na kuresechi mambo aliyoyaaongelea kwa umakini.

nadhani wengi walimsifia so ni bora alieleza upande mwingine ambao nadhani wengi walikuwa hawajui.
 
#Mtazamo wangu lakini-: Nafikiri hotuba ya Rais Kikwete rambirambi kwa hayati Mandela na wananchi wa S.Afrika nadhani imelenga kufariji na kuonyesha ushirikiano mzuri wa TZ kwa wanamapinduzi na wapigania uhuru kama Mandela..Lakini hili la pili kuanika mbinu za ndani zilizotumika kuwasaidia ni kupelekea watanzania kutoaminika na kuonekana wajanja wajanja kila 2takapokuwa, usishangae ukasafiri nchi za watu halafu jina lako halisi na passport yako ukakomaliwa kuwa vina mashaka, we should take this into high consideration

Nafikiri kwenye hotuba yake alitakiwa kuelezea sifa za mandela kwa nn we highly rated him, lkn badala yake akatumia fursa hiyo kuisifia tz jinsi gani ilivyoshiriki kwenye liberation and eradication of apartheid kwa kutumia mbinu ambazo ni kinyume na sheria na maadili ya kimataifa, that's not good at all.


Funguka mkuu, hebu tuambie hizo mbinu ambazo si kinyume cha sheria na maadili ya kimataifa zinasemaje na zinapatikana katika bandiko la taasisi ipi. Mvamizi ana mbinu na sheria rasmi ya kumuondoa kweli? Je alikuwa na mbinu na sheria rasmi ya kuvamia?

By the way nani alikwambia kwamba mbinu zilizotumika kwaenye ukombozi wa apartheid zimeendelea baada ya kukamilika ukombozi. Lakini pia ujue kwamba hakuna kitu kisichofahamika katika historia hiyo isipokuwa JK ametumia fursa ile kuwaeleza wasaouth wajue nafasi ya Tanzania kwao; ili wale wavuta yale madawa meupe wajenge heshima kwa Watanzania katika maujinga yao ya kuwafukuza weusi wenzao hali ya kuwa umaskini wao wa kukimbilia South huenda ulisababishwa na Serikali zao kutumia muda na Rasilimali zao kuikomboa nchi yao.
 
Mtoa thread anataka kuturudisha nyuma, alichofanya Mh. Rais ni kutake credit kwa manufaa ya Tanzania, kama kutakuwa na negative effects basi zitakuwa ni chache sana kulinganisha na namna tulivyoitangaza brand ya tanzania kwenye tukio. It was a nice speech.
 
#Mtazamo wangu lakini-: Nafikiri hotuba ya Rais Kikwete rambirambi kwa hayati Mandela na wananchi wa S.Afrika nadhani imelenga kufariji na kuonyesha ushirikiano mzuri wa TZ kwa wanamapinduzi na wapigania uhuru kama Mandela..Lakini hili la pili kuanika mbinu za ndani zilizotumika kuwasaidia ni kupelekea watanzania kutoaminika na kuonekana wajanja wajanja kila 2takapokuwa, usishangae ukasafiri nchi za watu halafu jina lako halisi na passport yako ukakomaliwa kuwa vina mashaka, we should take this into high consideration

Nafikiri kwenye hotuba yake alitakiwa kuelezea sifa za mandela kwa nn we highly rated him, lkn badala yake akatumia fursa hiyo kuisifia tz jinsi gani ilivyoshiriki kwenye liberation and eradication of apartheid kwa kutumia mbinu ambazo ni kinyume na sheria na maadili ya kimataifa, that's not good at all.

Sitaki kusema sana kuhusu hotuba na kama Kikwete alifanya vizuri au vibaya, tushalizungumzia hili.

Lakini kwa hati ya kusafiria/ pasi, hili ni jambo ambalo mtu asiyeelewa maana ya hati /pasi hii tu anaweza kuona utata.

Kimsingi pasi ni hati ya kusafiria (travel document), sisi Watanzania wengine ambao tunaona hati hii kama kitu kipya ndio tunachanganya masuala ya hati ya kusafiria na uraia.

Si lazima uwe raia wa nchi ili kupewa hati ya kusafiria ya nchi hiyo (travel document), hati na uraia ni vitu viwili tofauti.

Hati ya kusafiria ni serikali ya nchi moja inasema tunamdhamini huyu mtu akipata matatizo mnaweza kuwasiliana nasi kama mtu wetu. Mtu huyo anaweza kuwa raia au asiwe raia wa nchi inayotoa hati hii.

Kwa wanaojua maana ya hati hii hata hawatashangaa kuona Mandela kapewa hati ya kusafiria ya Tanzania, hususan kwa sababu serikali yao ilikuwa ya kidhalimu na iliwanyima kutoka nje ya nchi, na Tanzania ikachukua jukumu la kumdhamini.

Kuna watu wengi tu wana uraia wa nchi moja na hati ya kusafiri ya nchi nyingine (wakimbizi kama Mandela alivyokuwa).

Na kuna watu wengine hawana uraia wa nchi yoyote (stateless persons) lakini wana hati za kusafiria za Umoja wa Mataifa kama "stateless persons" au wana hati za kusafiria za Kimarekani, Kiingereza etc.

Tusichanganye hati ya kusafiria na uraia. Ukiwa na hati ya kusafiria ya nchi fulani, si lazima uwe raia wa nchi hiyo.

Rejea historia ya Miguna Miguna, Mkenya aliyekuwa Canada kwa miaka mingi baada ya kuukimbia utawala wa Moi, ambaye alikuwa akitumia pasi ya kusafiria ya Canada wakati bado akiwa raia wa Kenya kwa mujibu wake kwa sababu hakuwa na jinsi ya kupata pasi ya Kenya kama mkimbizi aliyeandamwa na serikali ya Moi kwa miaka mingi.Soma kitabu chake "Peeling Back The Mask".
 
Kuna watu wana wivu sana mlitaka JK aseme nini? Kama ulikuwa makini kufuatilia hotuba yake utaona kabisa mfano CNN anchors wake walihoji kwa nini JK na Tanzania walikuwepo kwenye mazishi na kusema wakati ule na msemaji wa SA ambaye aliulizwa alijibu ni kwa sababu SA wanatakiwa kuilipa TZ big time kutokana na kusaidiwa kwa hali na mali. Fact.

Pili hakuna hata nchi moja iliyeweza kuona mbali wakati ule kama Tanzania ilivyoona mbali kutokana na vichwa vilivyokuwepo wakati ule na hata leo heshima ya Tanzania inatokana na michango kama hiyo. Mbona nchi kubwa zilishindwa kutoa msaada huo mfano UK, USA nk. Msione vinaelea vimeundwa. KK alinifurahisha alipomlinganisha JK na mtoto mdogo asiyejua mambo.

BTW hata China wasingeweza kupata permanent membership ya UN kama sio Tanzania. Hivyo hawa watoto wa kileo wasifikiri tunapeta kutokana na bahati au kubebwa ni kwa sababu ya sera zilizowekwa kwenye misingi imara ambayo JK na kundi lake la maharamia wanajaribu kubomoa, lakini unaona jinsi wanavyogonga mwamba..
 
Mtoa post una akili sana. Kama ilivyo kawaida yetu binadam ni kutafuta udhaif wa mwenzako kuliko uzuri, katika ile hotuba nzuuri hilo suala la "janja janja kumpa NM passport" halikuwa na muhim saana kuwekwa public!

Pia wasouth hawatufeel kiviiile sisi ni km twajipendekeza tu kwao hasa kwa vjn wa sasa ambao hawajui historia btn us
 
Back
Top Bottom