Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 77
Nipo Njiani kuandika kitabu cha jinsi gani unaweza kuwa na theory au mitzamamo na jinsi gani hiyo mitazamamo inavyoweza kwenda au kuzuia maendeleao katika Nchi na pengine kwa watu wengine bila ya kujua wanaiga au kuimba wimbo huo bila hata ya kuhoji, Naomba maoni juu ya mambo gani ya msingi yawepo katika uandishi wangu juu ya Kikwetelization thought, Nitafurahi sana kuona michango yenu. Mawazo haya yanaweza kuwa katika siasa, uchumi, jamii hata maisha ya kawaida sana katika kuamua mambo ya msingi sana.