KIKWETEISM: falsafa mpya na ya hatari

KIKWETEISM: falsafa mpya na ya hatari

Ni Mara Nyingi Tumeskia Rais Wetu Akilalamika Kuhusu Pesa Chafu. Kwa Maoni Yangu Muda Wa Kulalamika Umeisha Embu Aanze Kuchukua Hatua Sasa. Amka Usingizi Amka Tafadhali
 
Mkuu, kwani Kikwete ni Dikteta? Kama ndo hivyo, hizi mahakama zimewekwa kwa kazi gani? Kama ndo hivyo, hizi mamlaka zilizoundwa kushughulikia masuala hayo na ambazo zimepewa meno zina kazi gani? Ni aibu kwa wanachadema kuwa na mtazamo kuwa JK anaweza kufanya kila kitu kwa ajili ya nchi hii
 
Hatakiwi kulalamika anatakiwa kuchukua hatua!Amepewa mamlaka makubwa hadi watu wa chini yake wanaogopa kuchukua hatua kwa kuhofia kuingilia maslahi yake(kumbuka sakata la David Jairo)

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kikwete analalamikia pesa chafu wanazotafuna akina mbowe na slaa zinazotokana na ruzuku, badala ya kujenga chama wao wanaenda kuvinjari na mahawara dubai na ulaya
 
Hii thred imewekwa na mtu anayetumia kichwa kufugia nywele badala ya kufikiri
 
Back
Top Bottom