Kikwete yupo Adis Ababa kama nani?

inchaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
2,671
Reaction score
5,476
Your browser is not able to display this video.

Rais wa Namibia ⁦Netumbo Ndemupelila Nandi-Ndaitwah na Rais wa zamani wa Tanzania ⁦Jakaya Kikwete Mkutano wa Wakuu wa Umoja wa Afrika (AU) Jijini Addis Ababa⁩.[/URL]
 
Gentleman,
Rais mstaafu wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete ni miongoni mwa washauri muhimu wakuu wa Umoja wa Africa AU, jukumu amabalo hulifanya na maraisi wengine wastaafu ambao nao walikuepo kwenye mkutano mkuu huo wa umoja wa Africa AU. Baadhi ya marais wastaafu wengine waliohudhuria mkutano huo wa juu Africa ni pamoja na marais wawili wastaafu kutoka Nigeria, rais mstaafu wa Kenya, Ghana n.k.

So,
Jakaya Mrisho Kikwete yupo adis ababa kama rais mstaafu wa Tanzania na miongoni mwa washauri muhimu katika masuala mbalimbali ya Africa.
 
Anahangaika sana kukutana na viongozi mbalimbali ili kumsafisha nyumba ndogo yake ya zamani kutokana na damu alizozimwaga.
Mnapenda sana habari kama hizi. Hata mkidanganywa provided anayesemwa vibaya ni JK au Samia basi nyie mtashabikia tu
 
Hapo hakuna umoja wa Afrika, bali ni umoja wa viongozi wa Africa. Huo ni umoja usio na tija yoyote. Ni vikao vya kupotezeana muda kwa umoja usio na meno.
 
Hapo hakuna umoja wa Afrika, bali ni umoja wa viongozi wa Africa. Huo ni umoja usio na tija yoyote. Ni vikao vya kupotezeana muda kwa umoja usio na meno.
kisakolojia unaweza kua umechangamka tayari bila kujijua gentleman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…