Kikwete yuko Vietnam

Vasco da Gama yupo Asia, Membe na Pinda Ulaya, Mwandosya Zambia, Nyarandu yupo na Aunt Ezekiel Marekani.
 

Huyu jamaa akistaafu itabidi awekewe mbawa awe anaruka angani kama ndege vinginevyo ataugua kwa kutokuwa angani muda mrefu.
 
Profesa Kikwete hajui tu kuwa dili ni kwenda sehemu kutafuta masoko ya bidhaa baada ya kuzalisha na sio kwenda kuomba misaada ya kipuuzi. Kwamwe nchi hii hatutachagua tena wacheza ngoma na wakata viuno kwenda Ikulu
 
Eti ni kweli kwamba mizinga 21 ni mitamu sana ?
 
Naangalia taarifa channel ten professor yupo Ziarani tena nchini Vietnam? Jamani hivi hakuna chombo au idara inayothibiti hizi safari wazee? Bado huwa Si elewi ni ziara gani waziri anayehusika Na miradi husika katika wizara yake anapaswa kufanya ziara katika nchi flani na zipi anapaswa kwenda Rais kama kiongozi wa nchi?
China 6days
Vietnam 2 days
.........
.........
..........
It goes that way and the list is almost endless.... Jamani nadhani haya ndiyo mambo ambayo kimsingi Katiba pia iainishe kwamba kitakuwa na kamati itakayo ratibu ziara za kiongozi wa nchi na ikiwezekana idadi ya ziara ziwekwe wazi kabisa atleast Kwa mwaka..... This is more tha too much, I am sure if we weigh cost vs benefit ya hizi safari huenda hazina uwiano hata kidogo.
 

Yap, wewe kada kweli, hahahahahaha. Ulikunywa sumu ya TANU, hata nyekundu ukiione unasema ah, hiyo rangi mbona nyeupe? Kuweni wawazi hata kama mnashibia huko.
 
..kuna watanzania wenye mawazo ya kipimbi sana wanaposhindwa kuona kuwa hizi ziara za JK nje hazijawa na impact yoyote kwa uchumi wa TZ zaidi ya kuwa mzigo kwa walipa kodi...Inauma kuona kuwa kuna watu bado wanatetea ziara hizi katika kipindi hiki ambapo hata mishahara ya watumishi serikli inashindwa kulipa.....Inasikitisha sana kuona kuwa watawala hawa wako tayari kusafiri nje ya nchi kwa wiki kadhaa na genge la watu wao...huku nyuma wakiacha nchi ikiwa taabani kifedha katika sekta zoote za maendeleo na huduma za jamii....

..Huu upofu na ignorance ya watawala kwa matatizo ya watu wao unatia simanzi na ni janga kuu la taifa la TZ kwa utawala huu....Inaonyesha kabisa mchwa hawa wameamua kutafuna katika mda huu waliobaki nao madarakani....maana hamna kabisa kwa kipindi cha miaka 9 uhusiano wa kupiga hatua kimaendeleo na safari hizi za JK....Haya yote yatahojiwa tu.....hata kama si kesho....pale tutakapopata rais mkombozi wa taifa hili....Ipo siku...Nimeona pinda nae ameanza kwa kasi ya ajabu kutoka nje ya nchi kipindi hiki...leo nimeona yuko Oman anashikwa pembe na waarabu....Inauma...
 
Akimaliza huko mwambie apitie pia Azerbaijan na Kirgistan. Sidhani amezitembelea hizo nchi na muda wake mamlakani unaelekea ukingoni.
 

Yani vijana wa sasa mpaka wanatia aibu kujifanya wanajua, tena kama ingekuwa inawezekana kujua hali zao na za ndugu zao watokako, tungepata kujua ukweli wa madai yao kama ni ya thati. Uhuru kenyata huwezi kumlinganisha na JK lini kenyata alipewa mwaliko alafu akakataa? sio kila safari za JK anaziomba yeye zingine anaalikwa,achenichuki zenu, zinaboa
 
Profesa Kikwete hajui tu kuwa dili ni kwenda sehemu kutafuta masoko ya bidhaa baada ya kuzalisha na sio kwenda kuomba misaada ya kipuuzi. Kwamwe nchi hii hatutachagua tena wacheza ngoma na wakata viuno kwenda Ikulu

Acha kudhalilisha kabila za watu M.P.U.U.Z.I wewe, mbona watu tunafahamu kabila yako ni kijinga kabisa lakini tumenyamaza, mpinge JK kwa vile utakavyo lakini si kwa jamii yake ya pwani au kabila yake, kama unamuona yeye kwako hafai basi inatosha lakini si kuwadhalilisha watu wa PWANI kwa kuwaita WAKATA VIUNO na WACHEZA NGOMA, hebu niambie ni kabila gani isiyokuwa na ngoma TANZANIA ?? HESHIMA HAIUZWI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…