Nahisi dr alienda kumwombe ajira vasco da gama ili awe dereva wa Apolo maana tumechoka kuona kodi zetu zinamalizwa na ki gulf stream,kindege hakitulii kila dakika unakiona kinakatiza kipawa utafikiri daladala bwana
huyu rais wetu alianza mchezo huu mapema sana wa kutembelea kila kona ya nchi na watu walipohoji toka awamu ya kwanza wakajibiwa Rais wetu anatafuta misaada.
na safari hizi hazijawahi kukoma na zaidi zinaongezeka kila siku.
hata wewe unanipa picha ya aina ya watu waliopo ambao wanakatisha tamaa watanzania kama nchi ina watu wenye fikra za kulisaidia taifa.
sekta muhimu ni viwanda. safari za Rais wetu sasa zinakaribia kuwa miaka miwili katika miaka 10.
kwa wingi wa safari zote hizo ni kiwanda gani ambacho mpaka sasa kimepatikana kwa mamia ya safari zilizopita?
kama kasafiri ndani ya miaka 9 na hajapata wawekezaji wa maana je huu mwaka mmoja una matumaini kushinda miaka 9 aliyopoteza?
NIMESEMA HAKUNA NCHI ILIYOWAHI KUENDELEA KWA MISAADA.
umetaja nchi za Asia mashariki.
unaweza kunimbia China na India zilipata msaada toka kwa nchi gani ?
Rais Kenyatta alipoingia tu madarakani alipiga marufuku misaada ya nje katika serikali yake na asasi zote za kiraia.
lakini kasi yao ya maendeleo kwa muda mfupi ni yakutisha.
hata mtangulizi wa Kenyatta ambaye ni Mwai Kibaki sidhani kama alifikisha hata safari 20 kwenda ughaibuni ndani ya miaka 10 ya uongozi wake.
na juzi taifa lao limekuwa la uchumi wa kati duniani.
ndio maana wengine wamefikia hatua ya kumuita huyu rais ni RAIS MTALII
Kwa hivyo Great Thinker unashauri Rais awe anabaki humu humu nchini ?? Halafu Marais wa hizo nchi za Ulaya, Marekani na Asia ndiyo waje wamtembeleee ? Wafanyabiashara na Wawekezaji waje kumtembelea ? Hiyo nayo SHULE !
Ritz nahisi ID yako imeingiliwa siku za karibu post zako zinaleta walakini. Hivi ni nchi gani ambayo Raisi yupo kule na Waziri mkuu yupo kule? kumbuka wote wapo na misafara ya kufa mnyama ni mawaziri wangapi wapo nje ya nchi kwa sasa? halafu tunasema tutaendelea! Gharama wanazotumia na hicho wanachokileta haviwiani.
Mbona we huwa unatoka nyumbani na kwenda dukani kununua vitu? kama huyu mfanyabiashara kaona biashara inayo mfaa iko Tanzania ataifuata tuu, ilimradi aone matangazo.
Huyu jamaa bana yaani yuko pande zote. Marekani anaomba misaada, Uchina anaomba pia China na Vietnam hawapatani kivile ila ameenda na huko pia
Wapumbavu acheni kudhihirisha chuki zenu huyo JK hana shida ya kwenda kutembea kokote na kishatembea sana nchi kibao tokea enzi zile ambazo hakuwa busy kama sasa hivi, ni huruma yake kwenu mapimbi nyie halafu mnajifanya mnajua. siku hizi kila mtu ana mdomo mrefu kawaachia uhuru wa kuongea basi ndo mnataka kuongea kwa kutumia makalio. Mmepata vielimu kidogo mnajianya hamna shukrani huko vijijini kwenu mlikotoka wengine tangu mmekuja mjini hamjarudi na huku mjini ndo hata ugali hamli eti mmejua BURGER NA PIZZA kumbukeni mlikotoka. huyu jamaa kajitahidi kinoma kwanza aliingia madarakani wakati hali ya uchumi dunia nzima ilikuwa mbovu halafu alikuwa na maadui ambao wamemganda (chui ndani ya ngozi za kondoo). magazeti yenu ya kikuda karuhusu yafanye biashara ya kuuza habari za kipumbavu kwenu wapumbavu mnataka nini awalambe miguu? Hali sio mbaya sana hata kama ni mbaya sio kivile na hata mkiuliza waganga wenu huko vijijini na bibi zenu wana kanamba ka tigo pesa au M-pesa bado mnapiga kelele hatujapiga kahatua.
Kwa hivyo Great Thinker unashauri Rais awe anabaki humu humu nchini ?? Halafu Marais wa hizo nchi za Ulaya, Marekani na Asia ndiyo waje wamtembeleee ? Wafanyabiashara na Wawekezaji waje kumtembelea ? Hiyo nayo SHULE !
Wapumbavu acheni kudhihirisha chuki zenu huyo JK hana shida ya kwenda kutembea kokote na kishatembea sana nchi kibao tokea enzi zile ambazo hakuwa busy kama sasa hivi, ni huruma yake kwenu mapimbi nyie halafu mnajifanya mnajua. siku hizi kila mtu ana mdomo mrefu kawaachia uhuru wa kuongea basi ndo mnataka kuongea kwa kutumia makalio. Mmepata vielimu kidogo mnajianya hamna shukrani huko vijijini kwenu mlikotoka wengine tangu mmekuja mjini hamjarudi na huku mjini ndo hata ugali hamli eti mmejua BURGER NA PIZZA kumbukeni mlikotoka. huyu jamaa kajitahidi kinoma kwanza aliingia madarakani wakati hali ya uchumi dunia nzima ilikuwa mbovu halafu alikuwa na maadui ambao wamemganda (chui ndani ya ngozi za kondoo). magazeti yenu ya kikuda karuhusu yafanye biashara ya kuuza habari za kipumbavu kwenu wapumbavu mnataka nini awalambe miguu? Hali sio mbaya sana hata kama ni mbaya sio kivile na hata mkiuliza waganga wenu huko vijijini na bibi zenu wana kanamba ka tigo pesa au M-pesa bado mnapiga kelele hatujapiga kahatua.
Mwache mzee kukwete amalizie mda wake akacheze na wajukuu
mbowe alikuwa south africa akaunganisha oman kisha akarudi dar es salaa, leo kaenda hai.
Mmeshindwa kumpindua kwa kutumia sanduku la kura katika chaguzi kuu mbili za kidemokrasia, kwa sasa ndiyo mtaweza kwa njia nyingine.
Waulize wale walidai na kusema hawamtambui lakini cha kushangaza kila mara wanakwenda Ikulu kuomba msaada wa kisiasa pale maji ya kisiasa yanapowafika shingoni.
Kazi za Rais Kikwete hazihitaji kutumia darubini ili uzione.
The President is delivering on his promises to make Tanzania so much the better.
Watanzania hawawezi kuishi kwa kutegemea maneno ya wanasiasa pekee kama wale waliodai hawamtambui, bali Watanzania wataishi kwa kutegemea matendo ya wanasiasa.
Hivi anajua kuwa hospital hazina dawa kweli?China si aliomba reli, huko Vietnam tunamuomba atuombee dawa za matibabu maana huku hakuna kabsa
Kikwete ameingia Vietnam kwa ziara na msusururu wa Mtu kama miaa hivi, kudadeki... halafu kama hiyo haitoshi Pinda naye yuko Ulaya naye kabeba mtu kama 100 hivi na hiyo ni kwa wiki mbili sasa, huku nako Mwandosya yuko Zambia, achilia hao wengine ambao wala Ziara zao hazitangazwi.