kila kukicha JK ,JK, JK.. watu mnacheza ngoma msioijua,, WANAMTANDAO wanaendeleza vita na rafiki yao wa zamani aliyeamua kuwa MZALENDO.. KWA HILI LA JK KUAMUA KUWA MZALENDO LIMEMFANYA AWE ICON SIKU ZA USONI.... mabwana zenu mnafikili nani asiyewajua kuwa walikuwa wanataka kuturudisha utumwani tena safari hii chini ya watu fulani weusi wenzetu wakisaidiwa na vibaraka wao wachache waliopandikizwa kila mahali pa nchi hii na kila siku wakizidi kununua na kununua maelfu ya manyumbu wasiojitambua na kuendeleza uharo huu wasioujua.. JPM kila akikamua jipu analiliwa JK, kweli hamuwezi kumsahau JK, na bado maana majina ya NYUMBA wote waliokwenye system wakiendeleza ukibaraka kwa yule jamaa yenu ameshampa JPM na sasa ni mwendo wa HAPA KAZI TU,,, poleni sana...