Kikwete yuko New York Marekani

Msilalamike ndugu chaguo la Mungu hilo
 
Post meaningful issues, hizi zisizo na tija kwetu tumwachie mwenyewe, we are fed up with his trips
 
Ni vyema kama mkiendelea kujadili mengine tu.
Hatoacha kusafiri kwa kelele zenu.

Mnataka kumuangusha mwenzenu ashalala kitambo?!
 
Mmmhhh... huyu jamaa ni hatari.
 
Hivi yeye hawezi vuliwa urais mstaafu kwa kukiuka amri halali ya rais.
 
Kama anavyoonekena kwenye picha raisi mstaafu J. Kikwete baada ya kumaliza msiba wa dada yake ameenda mjini York Mpya huko nchini Marekani!



Endelea KUWAPOTOSHA Na KUWADANGANYA Watanzania Mkuu ILA Kuwa Makini Sana Kwani Sasa SHERIA Yetu Ile Ndiyo Ipo Ktk UBORA Wake. Mnavyomwandama Mzee Wa Watu Huku Mkifanya Upuuzi Wenu Wa Picha Za KUTENGENEZA Mnafaidika Na Nini? Hata Kama JK Katuudhi Lakini Nina UHAKIKA Kuwa Kuna Mahala Pengine Katufanyia Vizuri Na Tutamkumbuka Hivyo TUMPE HESHIMA Yake STAHILI Na Mtake Msitake Itabaki Ktk Historia Yetu Ya KIZAZI Na KIZAZI Kuwa Rais Wetu Wa Awamu Ya Nne ( 4 ) Alikuwa Ni Jakaya Mrisho Kikwete. Tujifunze Kuonyesha UUNGWANA Wetu Watanzania.
 

Kosa langu ni lipi hapo? Kwamba nimemsingizia Raisi Mstaafu hayuko York Mpya Marekani? au ni nini? Mbona sikuelewi?
 
Hivi kwa nini Malaysia hawaleti midege yao huku Tanzania:what:
 
Kuna mama mzungu hapo kakunja uso
Na mwingine karibu yake yuko busy Na ku text.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…