Leo nimeona kwenye TV Rais wetu akipokea JEZI ya RONALDO ambayo ni zawadi toka Real Madrid kwa kutambua nini sijui wanajua wenyewe...........
Katika speech yake alishukuru eti ANASHUKURU SANA KWA ZAWADI HIYO na pia kuitambua Tanzania JAPOKUWA NI MASIKINI.......
Huyu baba vipi nilitamani nimzabe kibao kama ni umaskikini basi ni umasikini wa FIKRA alionao yeye na haoi wanaomzunguka, yaani Tanzania na na RASILIMALI zote tulizokuwa nazo, ARDHI, MADINI, NK tuna umasikini gani kama sio ujinga wa viongozi wetu kutajua jinsi ya kuzivuna na kufaidika na TAIFA nazo????
Nimechukia mpaka moshi unatoka kwenye macho ...machozi yanatokota....@$%%&**&^~~~<<>?>< kwa sababu!####%%^????//..,^?^!!!! inakuwa 狗屁
Yaani 有个地方过年的风俗是吃年夜饭,Kwa hiyo ina maana 半夜起来,先祭祖,kwa sababu 乞求保佑,sasa inakuwaje 图个吉利。爷爷带着小孙子,来到黑黝黝的堂屋里, wakati sisi kila wakati tumesema 小孙子心里发毛,抱着爷爷的腿不放。 je kama 爷爷摆开供品,开始作揖,腰弯下去的时候,yeye kwa mfano 不期放了个响屁,异的响声着实把孙子吓了一大跳,连忙问:爷爷爷爷,是不是鬼叫!哎呀!你怎么说这样不吉利的话。爷爷忙说:狗屁!狗屁!
Kumbe wale jamaa waliofungiwa 爷爷摆开供品, kwa sababu......
Ina maana kama ataivaa hiyo jezi....异的响声着实把孙子吓了..
Kwani mtu anapochukua ubini wa mtu mwingine....ina...爷爷忙说
Ahgggghh!!!!!!!
Naweka mpira KWAPANI
Hivi karibuni niliona picha na clip moja ya Raisi wa Marekani Obama akikabidhiwa mpira wa basketball na jezi ya timu yakina kobe...sijui kama kuna kasoro yoyote kwa JK kupokea ile jezi ukichukulia mwanzo alikwenda kuwaomba watembelee Bongo kuitangaza kwa utalii.
Labda useme hilo swala UMASKINI...mana hta nami nashindwa kushangaa pale rais aliposema anashangaa kwanini Tanzania ni maskini..tena ilikuwa ni kwenye mahojiano na mhandishi wa Paris.
Leo nimeona kwenye TV Rais wetu akipokea JEZI ya RONALDO ambayo ni zawadi toka Real Madrid kwa kutambua nini sijui wanajua wenyewe...........
Katika speech yake alishukuru eti ANASHUKURU SANA KWA ZAWADI HIYO na pia kuitambua Tanzania JAPOKUWA NI MASIKINI.......
Huyu baba vipi nilitamani nimzabe kibao kama ni umaskikini basi ni umasikini wa FIKRA alionao yeye na haoi wanaomzunguka, yaani Tanzania na na RASILIMALI zote tulizokuwa nazo, ARDHI, MADINI, NK tuna umasikini gani kama sio ujinga wa viongozi wetu kutajua jinsi ya kuzivuna na kufaidika na TAIFA nazo????
PM, President Kikwete Want Closer Jamaica, Tanzania Ties
KINGSTON (JIS):
Thursday, November 26, 2009
President of the United Republic of Tanzania, His Excellency Jakaya Mrisho Kikwete
President of Tanzania, His Excellency Jakaya Mrisho Kikwete, expressed a desire for closer relationships between Tanzania and Jamaica, as he addressed a joint sitting of both Houses of Parliament, at Gordon House on Wednesday (November 25).
"I want us to increase our co-operation in other aspects of our political life. For example, our Parliaments should develop close co-operation on a bilateral level besides working together under the auspices of the Commonwealth Parliamentary Association," President Kikwete said.
He also expressed a desire for more exchange of visits between the Government Ministries and departments of the two countries, as well as cooperation between their private sectors.
"I would like, as well, to see greater co-operation between our business communities and our peoples. This way, we will be able to share experiences, learn from each other and do much more together for our mutual benefit," he said.
President Kikwete said there was a need for increased trading and investment, as well, and expressed confidence that closer mutual economic co-operation, would be of tremendous benefit to both nations.
He said that Jamaica's vibrant tourism industry could teach Tanzanians a lot about the industry, and that Jamaican businesses were welcome to invest in Tanzania.
"They could do so in the tourism industry, or in any other sector of their choice. There is an abundance of opportunities in agriculture, mining, manufacturing, as well as in the services such as Information and Communication Technologies (ICT), health and education," he offered.
Earlier, Jamaica's Prime Minister, the Hon Bruce Golding, welcomed the Tanzanian leader and his party to Gordon House and commended him for his leadership.
"We know of the challenges you face: reducing poverty, developing your infrastructure, securing the investments needed to accelerate economic growth, providing better opportunities for your people and combating the effects of climate change that threaten the agricultural sector on which so much of your population depends," Mr. Golding affirmed.
He also commended President Kikwete on his ambitious programme of transformation at home, including economic liberalisation, structural and fiscal reforms, tax reform, privatisation and increased support for the private sector.
"You have done well. You have succeeded in maintaining low inflation, strong investment flows, robust international reserves and an average annual growth rate of seven per cent over the past decade," Mr. Golding remarked.
Leader of the Opposition, the Most Hon. Portia Simpson Miller, noted that the Oppositions stood ready to support any initiative that will draw both countries closer together.
"We feel that it is full time that you have an office established in Jamaica, that would serve this region, and we look forward to the day when the relationship will deepen with the establishment of that office," she said.
President Kikwete and his wife leave Jamaica on Thursday (November 26) for the Commonwealth Heads of Government Conference in Trinidad and Tobago, ending a memorable four-day state visit.
http://www.jis.gov.jm/parliament/ht...IKWETE_WANT_CLOSER_JAMAICA__TANZANIA_TIES.asp
We acha tu, alafu sijui hili neneo analipendea nini, wewe umepewa zawadi kwa mchango wako kwenye soka, unaingiza masuala ya kujiita umaskini, sijui ilikuwa ni GEA ya kuomba misaada?
Kwa kweli viongozi wetu inabidi wabadili mtazao wao binafsi juu ya nchi yetu, Nashindwa kuelewa kwanini wanapokwenda nchi za nje wanachotangulia kueleza ni umaskini wetu na sio rasilimali zetu. Wakati fulani Kikwete alikutana na bilionea kule USA, badala ya kumweleza bidhaa tulizonazo (tanzanite n.k) ili tuweze kufanya nae biashara badala yake alimweleza kwamba sisi tunaangamizwa na maralia hivyo anahitaji msaada wake, yule bilionea alimuliza kwamba tuko watu wangapi tanzania na akaahidi kununua chandarua kwa kila Mtanzania na hili Kikwete alisema amefanikiwa katika safari yake. AIBU TUPU..!!!
Kwa hiyo watanzania wote kwa ujumla hebu tubadili mtazamo wetu na kuona fursa tulizonazo ndani ya nchi yetu. Wako watanzania wengi wanapopata nafasi ya kukutana tu na MZUNGU utaona anaelekeza mawazo ya kutaka kupata MSAADA kwanini tuishi kwa kuonewa huruma halafu tusaidiwe. "LET US CHANGE OUR MIND and THINK RICHNESS and NOT POVERT"
Hivi kama Rais ni Mjinga wale waliokubali kuongozwa na mjinga wanasifa gani???werevu?? kama mjinga anafanikiwa kushawishi werevu mpaka wanampa kura, yeye anabaki kuwa mjinga au anabadilika na kuwa mwerevu na nyie mliokubali kuongozwa na mjinga mnakuwa na sifa ya ziada ya UPUMBAVU?????????Leo nimeona kwenye TV Rais wetu akipokea JEZI ya RONALDO ambayo ni zawadi toka Real Madrid kwa kutambua nini sijui wanajua wenyewe...........
Katika speech yake alishukuru eti ANASHUKURU SANA KWA ZAWADI HIYO na pia kuitambua Tanzania JAPOKUWA NI MASIKINI.......
Huyu baba vipi nilitamani nimzabe kibao kama ni umaskikini basi ni umasikini wa FIKRA alionao yeye na haoi wanaomzunguka, yaani Tanzania na na RASILIMALI zote tulizokuwa nazo, ARDHI, MADINI, NK tuna umasikini gani kama sio ujinga wa viongozi wetu kutajua jinsi ya kuzivuna na kufaidika na TAIFA nazo????
Hatuwezi kuona matokeo ya hivi karibuni ktk utendaji wake, kwani hata huko nje hotuba zenyewe ni zenye kubeba ujumbe wa "kufikirika" zilizojaa matarajio kuliko mipango ya utekelezaji ya muda mfupi....
poor mind, poor thinking capacity, poor leading skills,poor leadership, poor in words selection, poor in everything!
Kuna Thread moja hapa JF aliwai hojiwa huko nje na "Alikiri kua Hajui kwa nini Watanzania ni Maskini"
Mpaka sasa hivi hajawai kujua kwanini waTz ni Maskini, msadieni