Kandambilimbili
R I P
- Nov 11, 2008
- 782
- 42
Watanzania tumekalia utajiri halafu tunawalisha watoto wetu sumu kwa kuwaambia mawazo potofu kuwa sisi ni masikini.
Leo nimeona kwenye TV Rais wetu akipokea JEZI ya RONALDO ambayo ni zawadi toka Real Madrid kwa kutambua nini sijui wanajua wenyewe...........
Katika speech yake alishukuru eti ANASHUKURU SANA KWA ZAWADI HIYO na pia kuitambua Tanzania JAPOKUWA NI MASIKINI.......
Huyu baba vipi nilitamani nimzabe kibao kama ni umaskikini basi ni umasikini wa FIKRA alionao yeye na haoi wanaomzunguka, yaani Tanzania na na RASILIMALI zote tulizokuwa nazo, ARDHI, MADINI, NK tuna umasikini gani kama sio ujinga wa viongozi wetu kutajua jinsi ya kuzivuna na kufaidika na TAIFA nazo????

Huyu mheshimiwa hajui nchi yake ndo mana anasema hivyo
Huyu mheshimiwa hajui nchi yake ndo mana anasema hivyo
Ebo! Sasa ulitaka aoe wanaomzunguka kwa nini bwn. SI wanaomzunguka ni wasaidizi wake? Atawaoaje bila kuharibu kazi?Leo nimeona kwenye TV Rais wetu akipokea JEZI ya RONALDO ambayo ni zawadi toka Real Madrid kwa kutambua nini sijui wanajua wenyewe...........
Katika speech yake alishukuru eti ANASHUKURU SANA KWA ZAWADI HIYO na pia kuitambua Tanzania JAPOKUWA NI MASIKINI.......
Huyu baba vipi nilitamani nimzabe kibao kama ni umaskikini basi ni umasikini wa FIKRA alionao yeye na haoi wanaomzunguka, yaani Tanzania na na RASILIMALI zote tulizokuwa nazo, ARDHI, MADINI, NK tuna umasikini gani kama sio ujinga wa viongozi wetu kutajua jinsi ya kuzivuna na kufaidika na TAIFA nazo????
Maskini wa fikra kabsaaaaaa
hajakosea................ Kasema kweli............ Masikini ni sisi ambao tutampa kura tena.............kwani tatizo ni ile kauli au hali yetu kimaisha.......??? ............ Wengine mmekimbilia nje ya nchi kwa kuuogopa huo umasikini halafu leo mnajifanya hamuuoni kwa vile aliyesema ni jk. Na nyie si mmesema hayo hayo ila ni kwa matendo...??leo nimeona kwenye tv rais wetu akipokea jezi ya ronaldo ambayo ni zawadi toka real madrid kwa kutambua nini sijui wanajua wenyewe...........
katika speech yake alishukuru eti anashukuru sana kwa zawadi hiyo na pia kuitambua tanzania japokuwa ni masikini.......
huyu baba vipi nilitamani nimzabe kibao kama ni umaskikini basi ni umasikini wa fikra alionao yeye na haoi wanaomzunguka, yaani tanzania na na rasilimali zote tulizokuwa nazo, ardhi, madini, nk tuna umasikini gani kama sio ujinga wa viongozi wetu kutajua jinsi ya kuzivuna na kufaidika na taifa nazo????
Kuna Thread moja hapa JF aliwai hojiwa huko nje na "Alikiri kua Hajui kwa nini Watanzania ni Maskini"
anatoka mkoa na ni kabila gani huyu? unajua kila kabila lina ka-laana kake!
Wachaga-ugonjwa wao ni kupenda pesa kupita kiasi, wahaya enzi zile..., wafipa, tanga, kigoma --uchawi, wahehe-kujiua, wakurya ..sisemi zisije katwa panga etc etc.
Na huyu ka laana ka kwao ni nini? mimi sijui hata kabila lake. chukulia ingekuwa ni kiranja serious wasingethubutu kuleta hicho ki-Tshirt
Mnisamehe Bure if i have offeded any one