Kikwete: Waziri yeye, katibu mkuu yeye, injinia yeye | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete: Waziri yeye, katibu mkuu yeye, injinia yeye

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nyabhingi, May 11, 2011.

 1. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,357
  Trophy Points: 280
  alipokuwa anawasema mawaziri wake ndipo nilipomuona kikwete msanii,jamaa alikuwa anaongea yeye mda wote,aliponiacha hoi ni pale alipogeuka injinia na kuanza kuelekeza jinsi reli mpya itakavyotengenezwa wakati hii ya sasa hivi ikiendelea kutumika,kwa ufupi alikuwa anafanya sanaa ya kuonyesha kwamba yeye anajua vitu,ni kama uwanja wa kuwaonyesha watz kwamba yeye sio kilaza kama wanavyosema,alikuwa anaelekeza vitu kwa watu ambao nina uhakika ni kutoka katika ripoti za hao hao anaowaumbua kuwa hawajui kitu,..jamaa mbabe kweli..
   
 2. M

  Mtu Mmoja JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2011
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  sio ubabe mkuu, hizo ni side effects za kikombe cha babu
   
 3. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  singleman una vituko,hata huku kikombe kinafika? Mböna cloudsfm kipindi cha Jahaz kibonde huwa anaichambua sanaa,anarudi magazeti,anaongelea kuandaa birthday ya jk,anamkosoa dr slaa,anaigiza sauti ya nyerere,anachambua mikataba ya iptl,dowan au tra,anarudi kwenye wanasiasa,anamsema sugu anamalizia na kutangaza kiwanja kipi kitakuwa na nani,utasikia wkend hii pale mzalendo atakuwepo machoz bendi,maisha atapiga ...n.k Haya yote anayafanya ndani ya dk.40. Kwa kweli wapo magenius wachache tz wanaojua kila kitu. Kuna akina omr,genius brainwash,jk ,kibonde,hiza,bagenda ,salva n.k n.k. Jeykey our injinia!
   
 4. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  kama komando kipensi vile...!!hahaaa!
   
 5. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #5
  May 12, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mkulu ni bonge la kilaza!
  Ni bingwa wa kukariri maelezo anayopewa na kujimilikisha kama yake vile, na hilo ndilo linasababisha tuwalaumu wasaidizi wake kwa kuto-perform, kwani baada ya kujimilikisha mawazo yao, MKULU anataka aonekane yeye ndiye brain behind kila jema. Hatutofikaaaa!!!!!!!
   
 6. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #6
  May 12, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Maneno mingiii,matendo haba..
   
 7. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #7
  May 12, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Kibonde ipo siku mdomo wake utageukia kushoto
   
 8. cabhatica

  cabhatica JF-Expert Member

  #8
  May 12, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 1,074
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Kwa kuongea jk humuwezi. Rejea hotuba ya kufungua bunge baada ya uchaguzi wa 2005. Tuliomsikiliza kwa makini tulijiona kama tunaelekea peponi kumbe ndo tunakwenda kule kwingine. JK tunataka actions mwanzo mwisho, maneno yametosha. Hii ni ngwe yako ya mwisho huna cha kupoteza. Asiyetenda mpotezee acha kuwatishia nyau... watu wazima hao. Nimechoka.
   
 9. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #9
  May 12, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  sijuiitulikosa nini mpaka tukapewa huyu JK, dah!
   
Loading...