Kikwete: Watanzania Acheni Udokozi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete: Watanzania Acheni Udokozi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Wambugani, Sep 20, 2010.

 1. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2010
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Watanzania acheni udokozi mpate ajira – JK

  Imeandikwa na Na Paul Sarwatt, Arusha; Tarehe: 19th December 2009 @ 23:59 Imesomwa na watu: 762; Jumla ya maoni: 1RAIS Jakaya Kikwete amesema tabia ya udokozi na kukosa uaminifu ndiyo inayowagharimu Watanzania kupata ajira na kukemea tabia hiyo aliyosema imesababisha wawekezaji wengi kuajiri wageni kutoka nje.

  Alitoa kauli hiyo wakati alipokuwa akifungua hoteli mpya ya kitalii ya Snow Crest iliyoko mjini Arusha ambayo inamilikiwa na Watanzania wazawa.

  “Tabia hii ya udokozi itatugharimu sana ndugu zangu Watanzania katika soko la ajira na tusipoaajiriwa tunapiga kelele sana kuwa wawekezaji wanaajiri wageni ...ni lazima tukubali kuwa waaminifu ili tupewe kipaumbele katika ajira zinazotolewa,” alisema Rais Kikwete.

  SOURCE: HabariLeo | Gwiji la Habari Tanzania

  Hivi kweli Wapiga Kura ni wadokozi?
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,860
  Trophy Points: 280
  Yeye ameacha udokozi?...........mimi najua saa hizi anajiandaa kudokoa kura
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Du...!

  Broda, mbona tendo hilo lilifanyika zamani sana, how come kauli hizi zinatoka sasa...!
  Wakati ule tulikuwa na hasira sana baada ya kuta za hoteli ile kuvunjwa asubuhi baada ya ufunguzi, tungejua alisema na hilo tungemmeza mtu mzimamzima!..huh!
  My take:
  Malipo duni yanawalazimisha wafanyakazi wengi wajisaidie wenyewe!
   
 4. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #4
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  du!.... No comments..
   
Loading...