mak89
JF-Expert Member
- Sep 21, 2012
- 1,072
- 914
"Wanasema jk hachomoi kwani nimechomeka nini" mkwere katika ubora wakeJK bwana kumbe maneno anayapata eeeeh,eti watachonga sana huyo ndo mkwere bwana
"Wanasema jk hachomoi kwani nimechomeka nini" mkwere katika ubora wakeJK bwana kumbe maneno anayapata eeeeh,eti watachonga sana huyo ndo mkwere bwana
Naomba uende kabisa hospitali pengine unaumwa! au kula limao!
Rais mstaafu amenena na ni mzalendo wa kweli...
Mzee umejuaje wakwepao kodi hawataacha? Labda ilikuwa kwako kwa Magufuli watasalimu amri tu, wewe fanya usafi acha kutukumbusha machungu ya mabilioni ya kodi zetu yaliyokuwa yanapotea siku kama ya leo.
Eti unamtaka Magufuli aendeleze vita dhidi ya wakwepa kodi na wala rushwa, kwani ilikuwepo?
Thanks ; kikwete....................... Watu walitegemea ungetoka na negative - umewaumbua kwa positive argurment
Anadai yeye, mkewe wala Ridhiwani hawajawahi kuagiza vitu viingizwe bila kodi, basi labda hajui ma dili ya mwanae. Achilia mbali Ridhiwani, marafiki wa Ridhiwani wakifika customs wanapiga simu kwa Ridhiwani, halafu wanawaambia customs hii mizigo ya Ridhiwani, mizigo inapita!
Kuna siku mzigo ulikuja customs jamaa wakasema mzigo wa Ridhiwani, TRA wakafungua mzigo. Weeeee... Mbona Othman Rashid na Said Mwema waliamshwa usiku wa manane kuja customs! Kisa, mizigo ya Ridhiwani imekaguliwa! Hivi mnadhani nyinyi wafalme?
Nahisi kichefuchefu.
Naomba uende kabisa hospitali pengine unaumwa! au kula limao!
Rais mstaafu amenena na ni mzalendo wa kweli...