Kikwete VC mpya UDSM

Udom walishawishiwa waandamane hadi bungeni,walipofika pale namba za kina lissu na mdee na lema zikazimwa.sasa hapa udsm dawa bado inaendelea kuchemka zaidi,si mmezoea kupambishwa mnapewa buku ten ten kuwaridhisha mabwana zenu?siku ya mwisho mnamlaum kikwete.wehu sana nyie.
 
acheni kudanganyana nyie,kama we ni mwanafunzi soma umalize uje ujitafutie maisha yako acha kuwafurahisha wanasiasa.wenzio wako kazini ivo.
 
Honestly we as Tanzanians and Africans at large are lacking problem solving techniques, ndo maana yanafanyika mambo ya kuchekesha!!!!
 
Tuache kujiumauma,mara ngapi tumeshuhudia taratibu za UDSM zikivunjwa kwa maslahi ya watu flani wenye nafasi? Ishu ya UDSM in clear words is BABA RIZ1 @ WORK,mnaopenda kusema thibitisha,thibitisha,subirini ila ndo mtakavyoendelea kunyanyaswa ndani ya nchi hii
 
msichanganye siasa na masomo na pia msiache kupigania haki zenu eti mtaonekana mnachanganya siasa na elimu..hivi hawa cdm mbona hawaitishi maandamano kuwatetea wanafunzi?
 
VC wa ud ni mkandala,kikwete ni rais wa tanzania,acha chuki zako za kijinga.maamuzi yanayofanywa chuoni yanafanywa na bodi ya chuo.kikwete wala sio member sasa wewe huo ufuska wako wa mdomo usiulete hapa.
 
wewe ulikuwa umelala umekurupuka usingizini umekuja na uharo wako apa.fanya kazi wewe,na kama ni dent soma,wanakudanya hao wenzako wako kazini,jioni wanapata chao,we wanakupa?
 
msichanganye siasa na masomo na pia msiache kupigania haki zenu eti mtaonekana mnachanganya siasa na elimu..hivi hawa cdm mbona hawaitishi maandamano kuwatetea wanafunzi?
subiri bado wanakunywa juice ikulu,wakimaliza watakuja kuwatumia km mradi,si ndo wanaokudanganyeni?kama udom siku ile wakawazimia simu,teh.
 
Unapotawala watu kama wanyama inauma sana, Jamani sio siri najiita niko kwenye nchi yangu lakini nafika sehemu naona niko kwenye nchi ya mateso kwa sababu ya viongozi wa hiyo nchi. Nani atatuokoa katika hii nchi ya mateso jamani tuwe naimani katika kristo ili angalau tupate wokovu .
 
Katika hali isiyokua ya kawaida UDSM imepoteza power of self determination ilihali inaongozwa na magwiji walobobea katika fani mbali mbali za kitaaluma. Maamuzi yanayotolewa hayazingatii tena uchambuzi makini unaolenga kutatua migogoro kisomi.

Ikumbukwe kwamba ni hivi majuzi tu mapach watutu i.e Mukandala, Maboko na Magaya wamepata ofa nyingine ya kuendelea na nafasi zao kwa miaka mitano zaidi.

Sina shaka na hili kwamba katika mikataba yao mipya imewekewa rundo la masharti ya kutofanya maamuzi yao binafsi yanayoendana na taaluma zao, bali kutekeleza ujuha unatoka magogoni kwa mh. JK.

Ndiyo maana kichwa changu nimekipa jina la kikwete VC mpya udsm maana ndiyo anashinikiza maamuzi ya kufukuza wanafunzi ovyo hasawale wanasimamia haki za wanyonge. pamoja na mambo mengine huyu mh. alizomewa alipoytembelea udsm kwenye maazisho ya miaka 50 hapo ndo kabisa akajenga chuki.

Hofu yangu ni kwa hawa wanataaluma,tena paprofesa wanashikwaje masikio na Kikwete?

Mkuu utajiuliza mengi lakini kosa ni dogo tu! Katiba inayomuruhusu Rais kuwa bwana wa kila mtu nchini. Wengine wanamsifu eti ana digrii, ipi? Digrii iwe ina mana ya ufahamu, lakini wengi hupewa digrii kam leseni ya kuombea kazi tu.

Tusije jikut hta VC yuko huko huko! maana sijaona la maana baada ya miaka ya uongozi wake.
 
umenena mkuu uyu jamaa wa magogoni ndiye kiongozi mkuu UDSM, hilo halina ubishi.ndo maana chuo kinaendeshwa kizuzu zuzu kwa sasa.
 
VC wa ud ni mkandala,kikwete ni rais wa tanzania,acha chuki zako za kijinga.maamuzi yanayofanywa chuoni yanafanywa na bodi ya chuo.kikwete wala sio member sasa wewe huo ufuska wako wa mdomo usiulete hapa.

nenda muhimbili mkuu, inawezekana akili yako haina akili
 
Jamani mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, JK sio Illiterate. He is a graduate of the same University!

inabidi sasa tuanze kuzifikiria hata GPA za wahitim hao, isiwe mnasema kuwa mtu fulani kahitim the same university tu, mi nadhani haitoshi, hata mashine ya kukoboa mpunga end product yake ni mchele na pumba, pumba utawapa wanyama au kutumia kama mbolea, mchele ni kwa matumizi ya binadam.
 
msichanganye siasa na masomo na pia msiache kupigania haki zenu eti mtaonekana mnachanganya siasa na elimu..hivi hawa cdm mbona hawaitishi maandamano kuwatetea wanafunzi?

sasa hapo unataka inteligensia itumie ndege kuzima hayo maandamano.
 
VC wa ud ni mkandala,kikwete ni rais wa tanzania,acha chuki zako za kijinga.maamuzi yanayofanywa chuoni yanafanywa na bodi ya chuo.kikwete wala sio member sasa wewe huo ufuska wako wa mdomo usiulete hapa.

usitumie hasira kiasi hiki mkuu, hata kama una maslahi fulani jaribu kuficha hisia zako ili tusikujadili wewe, tujadili hoja na kujua ukweli wake.
 
kikwete ni rais wa watanzania wote pamoja na nyie wenye chuki.wanafunzi wa udsm wanafukuzwa na tabia zao mbaya hapa hakuna haja ya kutafuta mchawi.
uccm wako unakusumbua.unashindwa kushirikisha ubongo wako kidogo kutambua yanayotokea pale chuo.ulisoma wap?una tatizo la connection.ram yako haifanyi kazi.
 
usitumie hasira kiasi hiki mkuu, hata kama una maslahi fulani jaribu kuficha hisia zako ili tusikujadili wewe, tujadili hoja na kujua ukweli wake.

hana jipya huyo hojatete.ana maslahi binafsi.hao ndo wanaoishi kwa hisani ya huyo ubwabwa wa bagamoyo
 
VC wa ud ni mkandala,kikwete ni rais wa tanzania,acha chuki zako za kijinga.maamuzi yanayofanywa chuoni yanafanywa na bodi ya chuo.kikwete wala sio member sasa wewe huo ufuska wako wa mdomo usiulete hapa.
Tetea hoja siyo kutukana kama mdomoni mwako kumejaa matusi hapa si mahali pake, na kama umetumwa hapa si mahala pa kusemea ulichotumwa, threads hii ni ya kiintelectual siyo ya kisiasa its better kupita tu kuliko hujaelewa unakurupuka kuchangia tena kwa maneno yasiyo na busara.
J2 njema.
 
Huku ni kumzulia Kikwete! Ni wapi katajwa kuwa maamuzi yake ndiyo yafanyiwe kazi? Chuo si kina uongozi wake kamili na mamlaka kamili katika kufanya maamuzi? Wasiotaka kusoma na kupendelea migomo wajiengue chuoni na wasitafute mchawi!!
 
Back
Top Bottom