Kikwete VC mpya UDSM

Kisiya Jr.

Senior Member
Nov 21, 2011
102
29
Katika hali isiyokua ya kawaida UDSM imepoteza power of self determination ilihali inaongozwa na magwiji walobobea katika fani mbali mbali za kitaaluma. Maamuzi yanayotolewa hayazingatii tena uchambuzi makini unaolenga kutatua migogoro kisomi.

Ikumbukwe kwamba ni hivi majuzi tu mapach watutu i.e Mukandala, Maboko na Magaya wamepata ofa nyingine ya kuendelea na nafasi zao kwa miaka mitano zaidi.

Sina shaka na hili kwamba katika mikataba yao mipya imewekewa rundo la masharti ya kutofanya maamuzi yao binafsi yanayoendana na taaluma zao, bali kutekeleza ujuha unatoka magogoni kwa mh. JK.

Ndiyo maana kichwa changu nimekipa jina la kikwete VC mpya udsm maana ndiyo anashinikiza maamuzi ya kufukuza wanafunzi ovyo hasawale wanasimamia haki za wanyonge. pamoja na mambo mengine huyu mh. alizomewa alipoytembelea udsm kwenye maazisho ya miaka 50 hapo ndo kabisa akajenga chuki.

Hofu yangu ni kwa hawa wanataaluma,tena paprofesa wanashikwaje masikio na Kikwete?
 
The ideas of the ruling class are the ruling ideas.

Ni mtawala!

Ila hivi ni kwlei JK ndiye mwenye amri ya kufukuza wanafunzi hapo UDSM? Kwani prospectus inasemaje kuhusu events zilizotokea?
maana ndio katiba ya UDSM.
 
Uongozi wa institution kama UDSM unahitaji busara zaidi kuliko mabavu na jazba, bila hivyo siku zote migomo na maandamano havita isha na hii ni hasara kwa taifa zima kwa sababu raslimali nyingi hupotea katika migomo.
 
Kuwa na degree hakukuondoi katika llliteracy unless unatumia ujuzi wako katika kujikomboa wewe mwenyewe na taifa kwa ujumla. sasa jiulize JK atajitenga na category hiyo?
 
hakuna tena prospectus wala students by-laws ila amri toka magogoni and no where you can go and claim your right.
 
hakuna tena prospectus wala students by-laws ila amri toka magogoni and no where you can go and claim your right.

Sitaki kukubali moja kwa moja kama hiki kitu ni kweli.
Kwanini Magogoni wataki wanafunzi hao wafukuzwe?
For whose interest?
Nina wasi wasi tunambebesha JK mizigo mengine ambayo sio yake!

Never Mind, I was just thinking aloud.,..
 
hehe si mnajifanya wanaharakati badala mtulie chuo msome mnajifanya kutafuta sifa ngoja mshike adabu
 
Jamani mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, JK sio Illiterate. He is a graduate of the same University!!!!!

A graduate with a "pass" degree.he was too busy talking to read.

Amesomea economics for heaven's sake.angekuwa ameelimika angetuonesha njia ya kutumia rasilimali zetu vizuri tuendelee kiuchumi..he is illiterate.
 
Jamani mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, JK sio Illiterate. He is a graduate of the same University!!!!!
Ni kweli ni graduate wa UCHUMI. Lakini hajui kwa nini nchi anayoitawala ni MASIKINI.
 
Jamani mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, JK sio Illiterate. He is a graduate of the same University!!!!!
Nadhani walifundishwa na mwalimu mmoja na mwenzake Bana. Ni mchumi lakini ukitaka umuudhi mwambie kuna mdahalo wa uchumi na Dr wa ukweli.
 
kikwete ni rais wa watanzania wote pamoja na nyie wenye chuki.wanafunzi wa udsm wanafukuzwa na tabia zao mbaya hapa hakuna haja ya kutafuta mchawi.
 
Back
Top Bottom